Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

kwenye post kama hii huwez kukuta wazee wa elfu saba saba hata mmoja hilo shangingi lenyewe acheni life kmmk , kuyapunguza masengelema kama hayo ni Muhimu Mungu mwenyewe kaona upuuz wake kamwita fasta
She has kicked a bucket within no time!
 
Ndiyo sababu Mungu kamtwaa

Haiwezekani upuuze ukuu wa Mungu na yeye akuangalie tuuu!
 
Mungu apende asipende CCM itashinda haya Mungu naye kampenda zaidi sasa , bado yule anayepokea utukufu wa Mungu ilihali ni binadamu kama sisi .
 
kwenye post kama hii huwez kukuta wazee wa elfu saba saba hata mmoja hilo shangingi lenyewe acheni life kmmk , kuyapunguza masengelema kama hayo ni Muhimu Mungu mwenyewe kaona upuuz wake kamwita fasta
Kwa bahati mbaya sana aliyekufa sio yeye.

Aliyekufa ni mama mpemba mkazi wa unguja,huyu mama wa ccm wa kwenye clip bado anapeta tu kitaa.
 
Huu ndio unaitwaga upumbavu wa shetani. Sasa ikiwa Mungu ni Mkuu kuliko nguvu anayoitegemea huyu mtu anayenena kwa upumbavu, madhara ya kiburi na kufuru hii, yampate yeye na si Taifa la Tanzania. Mungu naomba Rehema kwa ajili ya uzao wangu, familia yangu na Taifa la Tanzania. Kwa Jina La Yesu wote tuseme "Amina".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…