Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Alichomaanisha n watu kukaa na kubweteka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatafuta danga uyo dada Hana jipyaNimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Wewe kwa ufahamu wako unaamini kuwa kila linalotokea basi KAPENDA mungu ?"Ushindi wa CCM ni lazima, hata iweje. Kwa hiyo sio mungu akipenda".
Kauli hii umeihelewa vipi kiongozi?
Mkuu mbona sura yako haifanani na utumbo unaoandika ,sura unaonekana mzee wa makamo mwenye heshima ila comments zako ni utumbo wa ajabuAliteleza tu msameheni - siku zote kufikiria kabla ya kutenda/ kutamka huwa ni jambo zuri
Hata hivyo ni wazi kuwa CCM lazima ishinde
Una jazba kwa sababu ya ujinga na upumbavu wako.
TISS wanapiga kura ? Au wanahebu kura au wanakuwa mawakala? Fala wewe.
Tulia tuwashughulikie
Swali lako ni zuri sana kwa maana ni swali la kielimu kuhusu uweza/ukuu wa mungu. Yapo mambo ambayo ni mapenzi ya mungu moja kwa moja analo taka ndilo huwa. Na yapo mambo ambayo mungu ametupa nafasi yakuchagua aidha uongofu ama upotevu.Wewe kwa ufahamu wako unaamini kuwa kila linalotokea basi KAPENDA mungu ?
Hapa umechanganya mambo mawili.Yapo mambo ambayo ni mapenzi ya mungu moja kwa moja analo taka ndilo huwa.
Kuna maneno aliongeza "apende asipende"Hoja ya msingi hapa ni kwamba umekataa kwamba kiongozi hakutamka maneno hayo, ndio nikauliza namna ulivyo elewa wewe katika matamshi ya kiongozi kwenye hiyo video.
Unataka asemeje?. Chama cha Mbowe kitashinda?. Hivi unadhani watanzania wanaweza chagua utopolo kweli?. Hakuna chama hapa Tanzania, cha kuweza shindana na CCM na kushinda bado hakijazaliwa.Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Usipotoshe.. utekaji, utesaji, mauaji, wizi, ufisadi.. Mungu anahusikajeHuyu kaongea fyongo sana kakufuru.
JPM mwenyewe anamtegemea Mungu,kila atua dua kila atua maombi kwa Mungu,sasa huyu anasema utumbo gani!!
Aliteleza tu msameheni - siku zote kufikiria kabla ya kutenda/ kutamka huwa ni jambo zuri
Hata hivyo ni wazi kuwa CCM lazima ishinde
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Hapa umechanganya mambo mawili.
1.mapenzi ya Mungu.
2.analotaka huwa.
Kwenye namba 1 (mapenzi ya Mungu)yapo hayo mambo kweli tunakubaliana.ila jee kila linalotokea ndo analolipenda,au kila analolipenda lazima litokee ?
Hapa namba 2(analotaka huwa)hapa sina shaka kabisa kuwa Mungu akitaka kitu yeye husema tu "KUWA" na kinakuwa.
Kuna maneno aliongeza "apende asipende"
Yule mama hakusema hivo alisema "haina Mungu akipenda,akarudia sana kauli hiyo na wala hakusema "MUNGU APENDE AU ASIPENDE"
Video ipo
Inaleta tafsiri nyingi sana kwetu sisi.Kwahiyo kusema kwake "haina Mungu akipenda" inaleta tafsiri au maana ipi?
Lete tafsiri yako kwa jinsi ulivyoielewa hiyo kauli. Usiishie kusema inaleta tafsiri nyingi halafu hujaweka tafsiri zako hapaInaleta tafsiri nyingi sana kwetu sisi.
Lakini tafsiri sahihi anaijua mwenyewe.
Unaweza kutupa tofauti ya kutaka na kupenda?Hapa umechanganya mambo mawili.
1.mapenzi ya Mungu.
2.analotaka huwa.
Kwenye namba 1 (mapenzi ya Mungu)yapo hayo mambo kweli tunakubaliana.ila jee kila linalotokea ndo analolipenda,au kila analolipenda lazima litokee ?
Hapa namba 2(analotaka huwa)hapa sina shaka kabisa kuwa Mungu akitaka kitu yeye husema tu "KUWA" na kinakuwa.
Kuna maneno aliongeza "apende asipende"
Yule mama hakusema hivo alisema "haina Mungu akipenda,akarudia sana kauli hiyo na wala hakusema "MUNGU APENDE AU ASIPENDE"
Video ipo
Kutokuweka tafsiri zangu haikanushi kuwepo kwa kwa tafsiri nyingi katika kauli yake.Lete tafsiri yako kwa jinsi ulivyoielewa hiyo kauli. Usiishie kusema inaleta tafsiri nyingi halafu hujaweka tafsiri zako hapa
Ccm wamefika hatua ya kumkufuru Mungu. Ila wakumbuke tu kwa hatua hii waliyofikia basi wajue huu ndo utakuwa mwaka wao wa mwisho kutawala Tanzania kwa sababu siku zote, hakuna aliyewai kumkufuru Mungu alafu akabaki salama. Mifumo ni mingi ila hawa ni baadhi yao👇Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa