Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Nimekuomba utoe ufanuzi juu ya hiyo kauli ya kiongozi huyo wa ccm.Ili ujue maana lazima uangalie maneno.
Maneno ndo yale kila mtu ana tafsiri yake,wasiokuwa upande wake wanatafsiri kivyake wengine wanasema vingine.
Sio kutetea uovu.
Kwanza mtoa mada amuogope Mungu kwa kumuongezea huyo mama neno ambalo hajalisema.
Kumzushia muovu pia ni uovu,kumsingizia mmbea maneno ambayo hajayasema pia ni uovu mkuu.
Nanukuu: " ushindi wa ccm hauna Mungu akipenda. hili mnalijua? Eehe ushindi wa ccm hamna mpaka Mungu apende, aahaa; Mungu akijalia, aahaa; ushindi wa ccm ni nini? ni lazima" mwisho wa kunukuu.