safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Sio kweli ndugu.Mungu ni msamehevu sana lakini mpaka huyo mkosaji aone amekosea na kutubu kwake kuwe kwa dhati na hadharani si kama anavyofanya yule mwimbaji wa mipasho.
Watu wanazini na wanaomba toba baada ya muda mrwfu tena kwa siri na sio dhahir kama unavyotaka kutuaminisha.
Kiufupi ukimkosea Mungu hadharani basi anaweza kuksamehe sirini kwa sababu hata ukiwa mbele za watu unayemkosea ni Mungu na sio watu kama huyo mama inavyosemwa.