Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

Unaweza kutupa tofauti ya kutaka na kupenda?
Je inawezekana vipi kitu utake kitu kitokee halafu uwe haujapenda kitokee?
Kwa uwezo na ukuu wa Mungu inashindakana vipi mambo anayopenda yasiweze kutokea?
Maswali mengi unauliza.

Uliza swali moja moja usiwe na papara ya kuweka maswali mengi.

Weka swali moja,mda wa kuqoute mchache.
 
Kutokuweka tafsiri zangu haikanushi kuwepo kwa kwa tafsiri nyingi katika kauli yake.

Labda useme unaomba niweke tafsiri ambazo naona zinaingia hapo,lakini kulazimisha ati kwamba sina haki ya kusema ina tafsiri nyingi mpaka niweke zangu hilo ni hamu yako ya kutaka kujua.

Sema unaomba,usinipangie utaratibu ndugu.

Unaelewa nilichokwambia? Nimekwambia weka tafsiri yako kwa namna ulivyomuelewa wewe huyo mama wa ccm. nimeomba tafsiri yako kwasababu wewe ndiye umemtetea kuwa hakumaanisha kuwa Mungu apende au asipende. Haya niambie aliposema "ushindi wa ccm haina Mungu akipenda" inatoa tafsiri au maana ipi kwako?
 
wewe ndiye umemtetea kuwa hakumaanisha kuwa Mungu apende au asipende.
Sasa kwa mfumo huu kweli ndugu tutaelewana ?

Ok.

Tafsiri ya kwanza ninayoiona mimi

1.inaingia maana ya kuwa CCM inaweza kushinda bila Mungu kupenda kama ambavyo wakati wa nyuma inavyoshinda kwa figisu Mungu anapenda figisu za CCM ?mbona wanashinda licha ya kuwa Mungu hapendi dhuluma na figisu.
Kwa maana hiyo pengine alimaanisha hivyo.

2.pia inaweza kuwa na tafsiri kuwa CCM kushinda kwao Mungu hapendi washinde.

3.inaweza kumaanisha kuwa Mungu apende au asipende CCM itashinda tu yaani kwamba CCM haitegemei kupenda kwa Mungu ushindi wao.iwe isiwe watashinda.

4.lakini pia inaweza inawezekana huyu mama Mungu anayemuamini yeye sio Mungu wanaomuamini watu wanaompinga hivyo ikawa rahisi kwake kusema hivyo.
 
Aliteleza tu msameheni - siku zote kufikiria kabla ya kutenda/ kutamka huwa ni jambo zuri

Hata hivyo ni wazi kuwa CCM lazima ishinde


Aliteleza kwani alikuambia kuwa aliteleza au umekuwa msemaji wake ??
 
Hapo ni uoga wa 'reaction' ya Jiwe ndo unafanya mpaka mtu anakosa lugha sahihi! 😅
Jiwe anaogopwa na CCM wenzake Kama mfalme Huhi'huhihuhi alivyokuwa anaogopwa na Wagagagigikoko, na wala hawampendi!
WAGAGAGIGIKOKO MMWAGENI HUHIHUHIHUHI BHANA!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥


Tunasubiri mfalme Huhihui atuingilie uwanja wa Mkapa akiwa na chupi huku akisifiwa na wapambe wake kuwa nguo yake aliyovaa ni nzuri hakuna mfano wake 😂😂😂
 
Sasa kwa mfumo huu kweli ndugu tutaelewana ?

Ok.

Tafsiri ya kwanza ninayoiona mimi

3.inaweza kumaanisha kuwa Mungu apende au asipende CCM itashinda tu yaani kwamba CCM haitegemei kupenda kwa Mungu ushindi wao.iwe isiwe watashinda..
Asa kwanini mleta mada alipotoa maana kama hiyo ukamwambia kaongeza chumvi?
 
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?

Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa

Hapa kila anayeipenda ccm na ana akili timamu ni kumuombea mama huyu rehema kwa Mungu
na kufanya toba ili ccm iendelee kuongoza nchi.
 
Asa kwanini mleta mada alipotoa maana kama hiyo ukamwambia kaongeza chumvi?
Aliongeza chumvi kwa kuongeza maneno na akaonesha kumnukuu.

Kosa lake ni kuonesha kwamba kasema kama alivyoandika.

Tule tumama hatukusema kuwa "Mungu apende asipende.."

Hili neno asipende yule mama hakulisema,na ndo ambacho nilikuwa nakizungumzia.

Ndo mana huko juu nikasema simuungi mkono huyo mama na pia siungi mkono kumlisha maneno bayo hakuyasema.

Sijui wapi hukuelewa.
 
Unakubali kuwa kaongeza maneno mtoa mada ?

Ninachozungumzia mimi ni mtoa mada kuongeza maneno.

Haikutosha kumnukuu alivyosema huyo mama pekee ?
Mimi nafikiri sauti ya wengi ni sauti ya Mungu hivyo Mungu kupenda ni watu wengi kuamua nani awaongoze. Kusema ushindi ni lazima kunamaana tofauti na sauti ya wengi.(Mungu apende au asipende ni sahihi na hakuna alichoongeza)
 
Mimi nafikiri sauti ya wengi ni sauti ya Mungu hivyo Mungu kupenda ni watu wengi kuamua nani awaongoze. Kusema ushindi ni lazima kunamaana tofauti na sauti ya wengi.(Mungu apende au asipende ni sahihi na hakuna alichoongeza)
Sawa.
 
Apumzike mahali alipojichagulia.
JamiiForums-28687350.jpg
JamiiForums58495171.jpg
 

Attachments

  • JamiiForums58495171.jpg
    JamiiForums58495171.jpg
    18 KB · Views: 2
kwenye post kama hii huwez kukuta wazee wa elfu saba saba hata mmoja hilo shangingi lenyewe acheni life kmmk , kuyapunguza masengelema kama hayo ni Muhimu Mungu mwenyewe kaona upuuz wake kamwita fasta
 
Kabla ya juni 2021 huyo anaejiita jiwe ataungana na huyu. [emoji2959][emoji2959][emoji33]
 
Back
Top Bottom