safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Maswali mengi unauliza.Unaweza kutupa tofauti ya kutaka na kupenda?
Je inawezekana vipi kitu utake kitu kitokee halafu uwe haujapenda kitokee?
Kwa uwezo na ukuu wa Mungu inashindakana vipi mambo anayopenda yasiweze kutokea?
Uliza swali moja moja usiwe na papara ya kuweka maswali mengi.
Weka swali moja,mda wa kuqoute mchache.