Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

Mimi ninachoamini ni kuwakutaka kwa Mungu jambo litokee hakufungamani na mapenzi yake.

Yani sio kila jambo linalotokea basi Mungu kapenda,mimi sina imani hiyo.

Kuna madhambi duniani na Mungu anaweza kuyaondoa lakini anakamilisha ahadi ya kutujaribu hapa,ila sio kama kutokea kwa madhambi ati Mungu kapenda.

Kwa hiyo mkuu huyo mama kusema hivyo pengine ana maana zake.

Hapa sitetei maneno yake,na wala sitetei mtoa mada kuomgeza maneno,kwa nini aongeze maneno mtoa mada,maneno ya mama hayakujitosheleza ?

Kuhush kauli ya huyo mama atajua mwenyewe nia yake ilikuwa nini.

Ila kuomgeza maneno yake chumvi ili tuipate nia tunayoitaka sisi sioni usahihi wake
Hatujadili kuamini kwako bali tunataka maana aliyokuwa anamaanisha aliyetoa kauli.
 
Laana imeanza kuwaingia kichwani. Hata kwa Pharaoh ilikuwa hivi hivi. Mungu alimpa kiburi na akumshupaza shingo ili kumwangusha kiulaini. Mfalme Nebukadneza naye hivyo hivyo. Neno la Mungu haliongopi. Anguko la CCM haliko mbali.

Yaani CCM mmefika hatua hii? Kwamba watu wapende, wasipende, Mungu apende, asipende...! Hata tukimpiga kura Rungwe, bado NEC itawatangaza washindi? Ukisikia masikio kuzidi kichwa ndio haya sasa.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?

Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa

Eti hawa wapumbavu ndio TISS onawaunga mkono kwa hali na mali!? Idara hii imeharibika sana sanaaaa!
 
Eti hawa wapumbavu ndio TISS onawaunga mkono kwa hali na mali!? Idara hii imeharibika sana sanaaaa!

Ona sasa , mshahamia TISS. Kwa nini mnapenda kuchanganya mambo? TISS imekujaje sasa hapa.
Wavurugaji mnayaweza haswa. Na matusi juu
 
Hakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.

Dah ,muogope Mungu wako unapo tetea Uovu.
 
Hatujadili kuamini kwako bali tunataka maana waliyokuwa wanamaanisha aliyetoa kauli.
Ili ujue maana lazima uangalie maneno.

Maneno ndo yale kila mtu ana tafsiri yake,wasiokuwa upande wake wanatafsiri kivyake wengine wanasema vingine.
Dah ,muogope Mungu wako unapo tetea Uovu.
Sio kutetea uovu.

Kwanza mtoa mada amuogope Mungu kwa kumuongezea huyo mama neno ambalo hajalisema.

Kumzushia muovu pia ni uovu,kumsingizia mmbea maneno ambayo hajayasema pia ni uovu mkuu.
 
Back
Top Bottom