Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

Kwel ww uelewa wako bado ni mdogo kwa hiyo umeshindwa kuelewa hapo , sijui ndo tuseme kichwa chako ni kibovu
Mataga ndivyo walivyo 'ubongo wa bata'.

Mtu anaposema ccm kushinda sio hadi Mungu apende logically maana yake hata asipopenda watashinda tu.
 
Unamtegemea Mungu afu kwenye utawala wako kumejaa utekaji, mauaji, utesaji, unyanyasaji, uonevu, hila, ubaguzi, ubabe, dhihaka, chuki nk?

Unless aseme huyo Mungu anaye mtamka ni yupi.
Hata wewe kunapahala ukigusa ubaki salama,kwenye serikali yeyote ile duniani.
 
Hakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.
Hujatumia ubongo wako vizuri ulichokifanya ni matumizi mabaya ya ubongo
 
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?

Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa

CCM ni laana kwa nchi
 
Aliteleza tu msameheni - siku zote kufikiria kabla ya kutenda/ kutamka huwa ni jambo zuri

Hata hivyo ni wazi kuwa CCM lazima ishinde
Ulazima wa cccm kushinda ni upiM
? labda useme ni lazima kutangazwa lkn sio kushinda!
 
Hakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.
Unaibishia video as if umeitazama wewe mwenyewe?
 
Halafu utasikia,"ninamtanguliza mungu mbere jamani mniombee"
Yani Nikuombee wakati unajiona ni zaidi ya Mungu,laana tupu
 
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?

Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa

Lissu alisema akishindwa hatamuachia Mungu... vp hapo?
 
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?

Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa

Habari ndio hiyo...
Upinzani hamna chenu. Iwe kulia au kushoto, juu au chini, usiku au mchana, nyeupe au nyeusi, fair au foul, lazima jpm apite na 90% ya wabunge na madiwani...
Ndio ukweli.
 
Wasimamizi wote wa uchaguzi wameteuliwa na mgombea wa CCM alafu unategemea chama kingine kishinde?
 
Unakubali kuwa kaongeza maneno mtoa mada ?

Ninachozungumzia mimi ni mtoa mada kuongeza maneno.

Haikutosha kumnukuu alivyosema huyo mama pekee ?
Kwani maneno aliyoongea hugo ccm na mtoa mada yanamaana tofauti
 
Back
Top Bottom