Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

Mtu mwenye akili sawasawa hawezi kufurahia na kusema tutakuwa na wabunge 90% kutoka chama chetu. Si jambo la afya hata kidogo.
 
Aliteleza tu msameheni - siku zote kufikiria kabla ya kutenda/ kutamka huwa ni jambo zuri

Hata hivyo ni wazi kuwa CCM lazima ishinde
Mkuu huyu hakuteleza maana amerudia kama mara tatu. Alidhamiria alichokisema!
 
Hakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.
Mkuu embu toa ufanuzi juu ya hiyo kauli.
Nanukuu: " ushindi wa ccm hauna Mungu akipenda. hili mnalijua? Eehe ushindi wa ccm hamna mpaka Mungu apende, aahaa; Mungu akijalia, aahaa; ushindi wa ccm ni nini? ni lazima" mwisho wa kunukuu.

Jurjani mwalimu wa lugha embu njoo nawewe utoe neno. Je Hapa imemaanishwa Mungu apende au asipende jambo lazima lifanikiwe ama lah?
 
Naomba wenye kumjua Mwenyezi Mungu wanakili haya maneno kujitayarisha kuona aina ya hukumu zinazotolewa kwa watu wenye kutamka hivi.
Hawa CCM hawafuatilii matokeo ya maneno yao.Mwaka juzi tu kule Bwawani Zanzibar jamaa aliishia pale pale kwa dalili zote za hasira za Mungu.Wenye kujua waliposikia tu walikimbizana kutoka ukumbini.
 
Tastizo anazungumza na wanawake watupu hapo, japo wana masharubu na ndevu waumini wasiojielewa wanashindwa kusimama na kumsimamisha kumpa onyo hapo hapo.
wanashindwa na yule jamaa wa Simba aitwae Manara .alimpandishi jazba jamaa mmoja na kumwambia tusiingiliane katika mambo ya dini kama ni mpira tuzungumze mpra.
Mimi hapo ningempa yake kisha nikaondoka wazi wazi ,ila sijui kama yupo hai au anaumwa ,jamaa moja kama yeye alisema maneno mfano wa hayo kule Zanbar wakikutana CCM namna hio hio na kuwataka wanaoamini Mungu watoke baanda ya kunya kama huyo dada ,asubuhi yake jamaa maiti.
 
Hakutoka ukumbini,na sijui kama hata kikao kilimalizika.Maana shahidi wangu aliyekuwa ukumbini aliwahi kukimbia na akapata habari zake keshafika nyumbani.
 
Mkuu embu toa ufanuzi juu ya hiyo kauli.
Nanukuu: " ushindi wa ccm hauna Mungu akipenda. hili mnalijua? Eehe ushindi wa ccm hamna mpaka Mungu apende, aahaa; Mungu akijalia, aahaa; ushindi wa ccm ni nini? ni lazima" mwisho wa kunukuu.
Jurjani mwalimu wa lugha embu njoo nawewe utoe neno. Je Hapa imemaanishwa Mungu apende au asipende jambo lazima lifanikiwe ama lah?
Mimi ninachoamini ni kuwakutaka kwa Mungu jambo litokee hakufungamani na mapenzi yake.

Yani sio kila jambo linalotokea basi Mungu kapenda,mimi sina imani hiyo.

Kuna madhambi duniani na Mungu anaweza kuyaondoa lakini anakamilisha ahadi ya kutujaribu hapa,ila sio kama kutokea kwa madhambi ati Mungu kapenda.

Kwa hiyo mkuu huyo mama kusema hivyo pengine ana maana zake.

Hapa sitetei maneno yake,na wala sitetei mtoa mada kuomgeza maneno,kwa nini aongeze maneno mtoa mada,maneno ya mama hayakujitosheleza ?

Kuhush kauli ya huyo mama atajua mwenyewe nia yake ilikuwa nini.

Ila kuomgeza maneno yake chumvi ili tuipate nia tunayoitaka sisi sioni usahihi wake
 
Ndio kwa sababu kamuomgezea maneno.

Kwa nini aongeze maneno ?
Umeelewa?
Kwani nikisema
Juma yupo sokoni Leo
Wewe ukasema
Juma Ameenda sokoni Leo

Hapo mimi na wewe maana zetu zinatofautiana?
 
Umeelewa?
Kwani nikisema
Juma yupo sokoni Leo
Wewe ukasema
Juma Ameenda sokoni Leo

Hapo mimi na wewe maana zetu zinatofautiana?
Kwa mujibu wa mfano wako huu uliotoa Hazitofautiani.

Lakini mfano wako uliotoa una maana zinazokaribiana kuliko mada yetu.

Mfano huu huwezi kuutumia kama justifocation ya kutaka kuhalalisha kumuongezea maneno yule mama.

Mimi nikikuambia kuwa "mimi kuja kwangu dar haina Mungu akipenda,lazima nije.."

Alafu wewe ukasema mimi nimesema kuwa "kuja kwangu dar haina Mungu akipenda au asipende nitakuja tu"

Huoni kuwa umeongeza neno kwenye kauli yangu ?

Kwa nini uongeze neno,yale ya kwangu hayatoshi kufikisha ujumbe ?
 
Maneno ya kusema Ushindi hautegemei Mung kupenda unayaelewaje?
Nayaelewa kwamba CCM wanaweza wakashinda kwa figisu zao na Mungu akawa hajapenda lakini ametaka washinde.

Kwa sababu sio kila anachokipenda Mungu ndo kinachotokea,Mungu anaweza kuchukia jambo na likatokea.

Mungu hapendi zinaa lakini zinaa inatokea.

Sasa mimi nikikuambia kuwa kutokea kwa zinaa haijalishi Mungu anapenda au hapendi,ziinaa lazima itokee tu.

Kwa sababu kama haipendi kwa nini itokee ?

Kama anaipenda kwa nini aikataze ?

Hoja ya msingi ni Mungu KUTAKA jambo litokee.

Ndio maana maandiko yanasema Mungu akitaka jambo husema tu kuwa na linakuwa,
Na sio akipenda jambo basi hapo hapo linakuwa.

Mapenzi ya Mungu hajayafungamanisha na matakwa yake.

Anaweza akataka jambo litokee na hajalipenda,na anaweza kupenda jambo na lisitokee
 
Uyo jamaa yenu amekufuru ,kama upo nae kuwa nae na muunge mkono kwa aliyoyasema,sasa hata hili mpo ujingani na mnataka wengine wakubali ujinga wenu,
Pumbavu likipumbaa pumbaa nalo,sasa mnaeona mdada hakukosea .kwa hilo mtapumbaa nae peke yenu.
 
Back
Top Bottom