Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Unapoiba kura kwani unamuomba Mungu akusaidie uibe kura??!! Si ni Mungu anawekwa pembeni then katafunua zinafata. Aka goli la mkononi.Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Mi naona huyu kayatamka maneno hadharan tu tumesikia lkn huu ndio ukweli mchungu wakati wanapopiga goli la mkononi.