share JF-Expert Member Joined Nov 22, 2008 Posts 6,064 Reaction score 10,468 Nov 19, 2020 #201 Mtini said: Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu? Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa View attachment 1595383 Click to expand... Moja ya vielelezo mahakamani the Hague ni hiki.
Mtini said: Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu? Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa View attachment 1595383 Click to expand... Moja ya vielelezo mahakamani the Hague ni hiki.
T telma Member Joined May 19, 2018 Posts 12 Reaction score 14 Nov 19, 2020 #202 Ni watu wawili tofauti aliyefariki ni mtu wa Pemba na aliyesema hayo maneno ni mtu wa bara wana familia wa marehemu wamelalamika kwa kuombewa dua mbaya mtu wao
Ni watu wawili tofauti aliyefariki ni mtu wa Pemba na aliyesema hayo maneno ni mtu wa bara wana familia wa marehemu wamelalamika kwa kuombewa dua mbaya mtu wao
Abul Aaliyah JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 7,718 Reaction score 5,899 Nov 19, 2020 #203 Ngoja akakutane na mwenye ufalme wa vyote na anaestahiki kwel kuabudiwa
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Nov 19, 2020 #204 Nkuku Ngedu Wazabanga
MtamaMchungu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 8,974 Reaction score 12,662 Apr 4, 2021 #205 fisi 2 said: Kabla ya juni 2021 huyo anaejiita jiwe ataungana na huyu. [emoji2959][emoji2959][emoji33] Click to expand... Duh..... maneno yako yametimia
fisi 2 said: Kabla ya juni 2021 huyo anaejiita jiwe ataungana na huyu. [emoji2959][emoji2959][emoji33] Click to expand... Duh..... maneno yako yametimia