share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Moja ya vielelezo mahakamani the Hague ni hiki.Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa