Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

Uchaguzi 2020 Video: Kiongozi wa CCM asema Mungu apende au asipende wao kushinda ni lazima

Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?

Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa

Moja ya vielelezo mahakamani the Hague ni hiki.
 
Ni watu wawili tofauti aliyefariki ni mtu wa Pemba na aliyesema hayo maneno ni mtu wa bara wana familia wa marehemu wamelalamika kwa kuombewa dua mbaya mtu wao
 
Back
Top Bottom