Unapoiba kura kwani unamuomba Mungu akusaidie uibe kura??!! Si ni Mungu anawekwa pembeni then katafunua zinafata. Aka goli la mkononi.Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Hiyo aviator ni wewe?!? 😲. Mbona we mtumzima arifu!Aliteleza tu msameheni - siku zote kufikiria kabla ya kutenda/ kutamka huwa ni jambo zuri
Hata hivyo ni wazi kuwa CCM lazima ishinde
Hawa jamaa wanajua wafanyalo aiseeHiyo aviator ni wewe?!? 😲. Mbona we mtumzima arifu!
Kama yeye kateleza mpaka waitikia kibwagizo nao wameteleza!
Mtu km kateleza wajumbe wenyewe hata wange mute basi. Sasa na wenyewe wameitika kibwagizo km mara zote.
Hamna kuteleza hapo bwashee.
Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Mpuzi wewe! Sikiliza vizuri, tuliza akili!Hakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.
Huyu kaongea fyongo sana kakufuru.Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Umenikumbushabali aisee habari za Alfu lela ulela, bulicheka, umslopogazi, wagagagigikoko na safari za Sinbad.Hapo ni uoga wa 'reaction' ya Jiwe ndo unafanya mpaka mtu anakosa lugha sahihi! [emoji28]
Jiwe anaogopwa na CCM wenzake Kama mfalme Huhi'huhihuhi alivyokuwa anaogopwa na Wagagagigikoko, na wala hawampendi!
WAGAGAGIGIKOKO MMWAGENI HUHIHUHIHUHI BHANA!
[emoji28]
[emoji109] [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji95]
Huyu mdada anafanya kufuru kubwa...............Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Huo ndio ulevi wa madaraka sasa.Mbona anaongea kama kalewa hivi.
Acha kujinyea,sikiliza hiyo clipHakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.
Duh hizi dharau sasa kwa baba muumba,mtu anajitoa ufahamu hadi kukana nguvu za mwenye dunia yake,huyu mama inaonekana dini yake ni ya kingungeNimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Historia huwa haiandikwi upya.Hakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.
Unamtegemea Mungu afu kwenye utawala wako kumejaa utekaji, mauaji, utesaji, unyanyasaji, uonevu, hila, ubaguzi, ubabe, dhihaka, chuki nk?Huyu kaongea fyongo sana kakufuru.
JPM mwenyewe anamtegemea Mungu,kila atua dua kila atua maombi kwa Mungu,sasa huyu anasema utumbo gani!!
Kwel ww uelewa wako bado ni mdogo kwa hiyo umeshindwa kuelewa hapo , sijui ndo tuseme kichwa chako ni kibovuHakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.
CCM walaaniwe kwenye uchaguzi huu kupitia maneno yao ya dhihaka kwa Mungu wetu.Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa