Video: Kwenye Tendo la ndoa unafikiri ni style Gani mwanamke wa kileo inawezesha kumridhisha?

Video: Kwenye Tendo la ndoa unafikiri ni style Gani mwanamke wa kileo inawezesha kumridhisha?

Mwanamke huwezi kumridhisha hata ufanyaje na ndio maana jamii zingine kama wakurya wairaq n.k waliamua kunyofoa kabsa kinembe cha mwanamke maana hata ufanyaje hawezi kuridhika.
Tena ndio ukute una mwanamke menene mfupi🤣🤣 kila siku anataka
 
Nadhani swala hili linahusu wanandoa kujadili ni nn mwenzie anapenda nini azidishe au apunguze lakini sidhani kama majibu hapa yatalingana kila mtu na vile anavyopenda na chakwanza ni kuridhiana kutoka moyoni mengine yatakua rahisi zaidi
Shida inakuja mwanamke kashachakazwa na wanaume zaidi 20+ na Kila mwanaume alikuwa na mtindo na aina yake ya kuipukuchukua!
 
Bora jamii forum haijaweka option ya kuonekana sura tuki-comment wala kutumia voice notes

Kwa maana Kuna wakati tunaandika maoni yetu tukiwa njwi kama huyo brother kwenye hiyo video

All in all, tupunguze kuwanyooshea vidole Wanawake kuwa kabla ya kuolewa watakuwa wametumika sana, wakati hiyo hali inaweza kumkuta pia Mwanaume.

Kuna Wanaume hadi anakuja Kuoa, ameshalala na Wanawake zaidi ya 150

Kwa idadi hiyo ya Wanawake ambao atakuwa amelala nao, hata akutane na Mwanamke mrembo kiasi gani bado ataonekana hamtoshelezi.

Anyways, tukutane kwenye vikao vya familia tukisaidiana kusolve migogoro yenu ya ndoa
 
Back
Top Bottom