mxrereco
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,906
- 3,986
Imani yangu; binadamu yeyote haridhiki na mbususu au mshedede mmoja (nature). Kwenye ndoa ni kuvumiliana tu. Either uvumilie mbususu moja au mshedede mmoja siku zote au uvumilie usaliti. Kuhusu kuoa aliyechezewa, bado linaingia kwenye luvumilia. Ni dunia ndio imelazimisha tuwe hapa tulipo, urahisi wa kutongozana, kuonana, kulana nk. Hivyo likifika swala la kuoa, unabeba tu utakaevulia past zake kwani na yeye atavumilia past zako. Wanaofanyia hizi mambo hawa mabinti ni sisi hawahawa vijana wa hovyo.
Hata kwenye hizi ndoa wakuu, mtu anaweza kuwa na mke na kuamini kabisa mkewe yuko vizuri, anaridhika na show zake na hamsaliti, kumbe background mambo ni tofauti. Nartazar kathibitisha hilo. Kwenye ndoa ni kuvumiliana na kubebeana madhaifu yetu tu wakuu