Hizi mada za kuwasema wanawake mbona zinakua nyingi sana.
Huyu mzee ni mjinga tu, hao wanawake hizo bikra wanajitoa wenyewe??
Nani anawachakaza hao wanawake kama sio wanaume..
Badala ya kuwaasa vijana wetu wa kiume kuwaheshimu wanawake - yeye yupo kuwatupia lawana wanawake ambao ndio watendwa - what about mtenda - mwanaume.
Kwenye jamii ya sasa ni kama vijana wakiume wanatengwa kimalezi na kimaadili ..hivi tusipiwafundisha vijana wa kiume kufunga suruali zao na kuwa na kiasi si jamii nzima ndo inaingia matatizo??
Tuwapumzishe hawa mama,dada, wadogo zetu na kuwasema na kuwalaumu bila kuwa na suruhisho.
Tunaporuhusu vijana wa kiume kutokuwa na kiasi/ bikra automatically na vijana wa kike ni hivyohivyo.
Tendo la ndoa ni tendo la siri - Anachofanya mtu na mke wake au mpenzi wake ni non of public business...na hakuna formula.Wakiamua kuwekana mikono ni wao, wakilambana huko ni wao....hakuna formula hapo.
Mfano yeye aliishamuuliza baba yake - kama mama yake alikuwa bikra, mke wake kamkuta bikra, dada zake ni bikra, watoto wake ni bikra, ndugu zake ni bikra???
Wanaume tusiwe kama MAFARISAYO..kunyooshea wanawake vidole while we are the source.