Yaani unafikiria sheria za JF zaidi ya utu wako?Hata Sheria za JF huzijui.
Mods nadhani mmeona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani unafikiria sheria za JF zaidi ya utu wako?Hata Sheria za JF huzijui.
Mods nadhani mmeona
wewe kama ni mwanaume, bro unachapiwa,,,,period!!!! na anayebisha ni mdhaifu mwenzako!!!Imani yangu; binadamu yeyote haridhiki na mbususu au mshedede mmoja (nature). Kwenye ndoa ni kuvumiliana tu. Either uvumilie mbususu moja au mshedede mmoja siku zote au uvumilie usaliti. Kuhusu kuoa aliyechezewa, bado linaingia kwenye luvumilia. Ni dunia ndio imelazimisha tuwe hapa tulipo, urahisi wa kutongozana, kuonana, kulana nk. Hivyo likifika swala la kuoa, unabeba tu utakaevulia past zake kwani na yeye atavumilia past zako. Wanaofanyia hizi mambo hawa mabinti ni sisi hawahawa vijana wa hovyo.
Hata kwenye hizi ndoa wakuu, mtu anaweza kuwa na mke na kuamini kabisa mkewe yuko vizuri, anaridhika na show zake na hamsaliti, kumbe background mambo ni tofauti. Nartazar kathibitisha hilo. Kwenye ndoa ni kuvumiliana na kubebeana madhaifu yetu tu wakuu
The kamasutraWakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao.
Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
View attachment 3168211
Kuna wafuga vitambi wameshatupa taulo huko kwenye komenti😂😂😂😂 wanajifariji mwanamke haridhishwi.
Mwanaume hufanyi mazoezi, huna pumzi utamridhishaje mkeo??? Unakula hovyohovyo lazima tu usaidiwe hakuna namna.
Endeleeni kula hovyohovyo na kunywa bia. Shikilieni hapohapo badaboda huku wataendelea kuwasaidia jinsi gani wanawake zenu wanaridhishwa.
Fugeni vitambi na kunenepesha mashavu na hizo bia with time kisukari na presha then BODABODA a.k.a akina BALTAZARI WA MTAANI watawasaidia bure kabisa🤝🤝🤝
Ushawah kuambiwa baby hiyo ni ya kizaman? Muda huo wewe ndo unajimwaya mwaya na unataka kuonyesha utundu wako😹😹😹😹Style ya mnyama ngiri kurejea shimonii
Au popo kanyea mbingu bila kutawadha😂Chuma mchicha usiinuke hadi upate fungu moja lililojaa mkono!
SafiBora jamii forum haijaweka option ya kuonekana sura tuki-comment wala kutumia voice notes
Kwa maana Kuna wakati tunaandika maoni yetu tukiwa njwi kama huyo brother kwenye hiyo video
All in all, tupunguze kuwanyooshea vidole Wanawake kuwa kabla ya kuolewa watakuwa wametumika sana, wakati hiyo hali inaweza kumkuta pia Mwanaume.
Kuna Wanaume hadi anakuja Kuoa, ameshalala na Wanawake zaidi ya 150
Kwa idadi hiyo ya Wanawake ambao atakuwa amelala nao, hata akutane na Mwanamke mrembo kiasi gani bado ataonekana hamtoshelezi.
Anyways, tukutane kwenye vikao vya familia tukisaidiana kusolve migogoro yenu ya ndoa
Kwani unapofanya tendo la ndoa unatafuta kumrisha unayefanya naye au kujiridhisha wewe?Wakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao.
Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
View attachment 3168211
Kwamba waoe scrapavijana waendane na kasi ya mabinti
mbona sisi wazee tunaparangana na hawa mabinti wa kileo na hamna shida

kijana yupi unamshauri mkuu hawa hwa wanaozama chumvini ama kuna wengine?Kwani unapofanya tendo la ndoa unatafuta kumrisha unayefanya naye au kujiridhisha wewe?
Je,kama unataka kumridhisha unayefanya naye lkn kwa wakati huo yeye hataki na hana mpango wa kuridhika unamlazimisha aridhike (alizike)?
Huna kazi za kufanya?
Wewe fanya kilichokupeleka,ukishapata angalia mambo ya msingi na uachane na upuuzi,sawa kijana?
Haohao na wengineo wenye kusahau kinachomfanya atafute K na kung'ang'ania kumrisha mtu mwingine.kijana yupi unamshauri mkuu hawa hwa wanaozama chumvini ama kuna wengine?
Hapo utakuwa umeoa mwanamke ambaye sio level yako chukua mwanamke unayemmudu.Mkuu itoshe tu kusema hayana formula. Mwanamke siku zote hutafuta kile ambacho huna,Nenda gym,fanya mazoezi Yako yote mpigie show ya uhakika lkn mwisho wa siku atakuambia anahitaji umpeleke Dubai akale Bata muda huo wewe na mazoezi Yako huna huo uwezo wa kwenda Dubai na wanao mtongoza Kila siku Wanao huo uwezo. Hivyo kitakacho mpeleka Dubai sio mzagamuo!
Wale vijana wa kataa ndoa leo wamepata big support🤣🤣.Wakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao.
Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
View attachment 3168211