Bora jamii forum haijaweka option ya kuonekana sura tuki-comment wala kutumia voice notes
Kwa maana Kuna wakati tunaandika maoni yetu tukiwa njwi kama huyo brother kwenye hiyo video
All in all, tupunguze kuwanyooshea vidole Wanawake kuwa kabla ya kuolewa watakuwa wametumika sana, wakati hiyo hali inaweza kumkuta pia Mwanaume.
Kuna Wanaume hadi anakuja Kuoa, ameshalala na Wanawake zaidi ya 150
Kwa idadi hiyo ya Wanawake ambao atakuwa amelala nao, hata akutane na Mwanamke mrembo kiasi gani bado ataonekana hamtoshelezi.
Anyways, tukutane kwenye vikao vya familia tukisaidiana kusolve migogoro yenu ya ndoa