Video: Kwenye Tendo la ndoa unafikiri ni style Gani mwanamke wa kileo inawezesha kumridhisha?

Umesema kuntu
 
Jamaa naona kajikita katika Maadili tu ndio Core point yake.
Kwamba Kutafuta Mke mwema imekuwa ngumu mno kizazi ichi kwa sababu ya Mmomonyoko wa maadili.
Unakuta demu kashakuwa Screpa kashaishi kiunyumba huko chuo mara 5.
Naona kaongea ukweli vijana kwenye kuoa tumia zaidi akili achana kuangalia Trako na Kucha ndefu utaumia.
Lakini Pia kumridhisha mwanamke icho kitu hakipogo kabisa Yani Haki Exist hapa duniani kwa sasa.
 
Ni maoni yake na wewe Toa yako kuhusu wanaume tukusikia kama una Logic
 
Kwani wanaume walioishi na hao wasichana kinyumba wao siyo mascrepa? Mmomonyoko wa maadili unawahusu wote siyo wanawake tu. Acheni kuwadhalilisha mama zetu nyinyi mbwa wakubwa!!
 
Kwani wanaume walioishi na hao wasichana kinyumba wao siyo mascrepa? Mmomonyoko wa maadili unawahusu wote siyo wanawake tu. Acheni kuwadhalilisha mama zetu nyinyi mbwa wakubwa!!
Mbona mimi sijamdhalilisha mama yako sehemu.
Au na yeye kabla ya kuolewa alishatoka na wanaume 150.Tunawazungumzia hao brother.
kama na wanaume tunakuwa mascrepa na wewe toa mada kuhusu Wanaume ila hapa tupo na Wanawake.
 
Ndio wewe uliyejirekodi kwenye hiyo video clip?

Kwa kutaja wanawake tu umewadhalilisha wanawake wote la sivyo ulitakiwa uwe specific umtaje mwanamke husika siyo ku-genalize wanawake wote.
 
Yas money a.k.a mixx by yas
 
Ndio wewe uliyejirekodi kwenye hiyo video clip?

Kwa kutaja wanawake tu umewadhalilisha wanawake wote la sivyo ulitakiwa uwe specific umtaje mwanamke husika siyo ku-genalize wanawake wote.
Kwa hiyo unapingana na Kiswahili kuwa samaki mmoja akioza wote wameoza?!
 
Kwa hiyo unapingana na Kiswahili kuwa samaki mmoja akioza wote wameoza?!
Kiswahili hicho kina maana samaki lazima wawe kwenye chombo kimoja ndio wataoza lakini wakiwa vyombo tofauti hawataoza wote. Sasa kwani wanawake wote wanaishi kwenye familia moja?
 
Tigo pesa,mpesa,airtel money,credit card...ila huyu mpuuzi ana umri ila hajakua..kwanini uaminifu kwenye ndoa anatazamwa tu mwanamke?
Huyu ni kenge manyoya...kwani hao wanawake si wanaliwa na wanaume ama ni vibwengu...hebu atuondekee hapa tusije kususiwa maraha
 
Kiswahili hicho kina maana samaki lazima wawe kwenye chombo kimoja ndio wataoza lakini wakiwa vyombo tofauti hawataoza wote. Sasa kwani wanawake wote wanaishi kwenye familia moja?
Ha ha ha ha mkuu unapingana na mengi...si wanasema dunia ni kijiji siku hizi...sote tunaishi kijiji kimoja na ndo chombo kimoja hicho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…