Video: Kwenye Tendo la ndoa unafikiri ni style Gani mwanamke wa kileo inawezesha kumridhisha?

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

#kataa ndoa 3-0 "i luv my wife"/mabro lialia

🚨🚨🚨🚨Kijana kama utakosa kabisa BIKRA wa kuoa basi KATAA NDOA.ukishupaza misuli ya kichwa, sisi tunakusubir hapa uje utoe chozi tukupe pole kwa maneno machungu 😎
 
wewe kama ni mwanaume, bro unachapiwa,,,,period!!!! na anayebisha ni mdhaifu mwenzako!!!

Na siku ukimfuma mkeo huwa wanaume type yako hamnaga ustahimilivu huu mnaojifanyaga mnaandika humu kuwa nyie ni strong,,,,nyie ni wakujinyonga na kujiua😄😄😄 na ni vyema ikiwa hivyo maana hata uzao wa baba mwenye mentality kama hii atatuletea mbegu legelege kama hizi hivyo ni vyema mnavyojiuaga🙏🙏🙏
 
Kuna wafuga vitambi wameshatupa taulo huko kwenye komenti😂😂😂😂 wanajifariji mwanamke haridhishwi.

Mwanaume hufanyi mazoezi, huna pumzi utamridhishaje mkeo??? Unakula hovyohovyo lazima tu usaidiwe hakuna namna.

Endeleeni kula hovyohovyo na kunywa bia. Shikilieni hapohapo badaboda huku wataendelea kuwasaidia jinsi gani wanawake zenu wanaridhishwa.

Fugeni vitambi na kunenepesha mashavu na hizo bia with time kisukari na presha then BODABODA a.k.a akina BALTAZARI WA MTAANI watawasaidia bure kabisa🤝🤝🤝
 
Mkuu itoshe tu kusema hayana formula. Mwanamke siku zote hutafuta kile ambacho huna,Nenda gym,fanya mazoezi Yako yote mpigie show ya uhakika lkn mwisho wa siku atakuambia anahitaji umpeleke Dubai akale Bata muda huo wewe na mazoezi Yako huna huo uwezo wa kwenda Dubai na wanao mtongoza Kila siku Wanao huo uwezo. Hivyo kitakacho mpeleka Dubai sio mzagamuo!
 
Safi
 
Wakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao.

Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
View attachment 3168211
Kwani unapofanya tendo la ndoa unatafuta kumrisha unayefanya naye au kujiridhisha wewe?
Je,kama unataka kumridhisha unayefanya naye lkn kwa wakati huo yeye hataki na hana mpango wa kuridhika unamlazimisha aridhike (alizike)?

Huna kazi za kufanya?
Wewe fanya kilichokupeleka,ukishapata angalia mambo ya msingi na uachane na upuuzi,sawa kijana?
 
kijana yupi unamshauri mkuu hawa hwa wanaozama chumvini ama kuna wengine?
 
Hapo utakuwa umeoa mwanamke ambaye sio level yako chukua mwanamke unayemmudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…