Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

Songoro Hahaha
Watu wa kata ya kambangwa wanamjua vilivyo

Ova
namuona na muigizaji Richie kumbe alikukwaa Udiwani, basi Kinondoni inatisha hapo jamani, huyo Mama Mkurugenzi atalegea sio kipindi cha Mwendazake angeweza kushtaki juu zaidi
 
Aiseee !!
 
Daaaah......

Mh.Songoro Mnyonge na DED wake "kimeumana"...

Mheshimiwa Songoro Mnyonge hanaga konakona

Kutofautiana kwenye vikao ni alama mojawapo ya kwamba viongozi wanafanya kazi huru, ila kugoma kusikilizana na kuendelea kujibishana kwenye vikao inaweza ondoa imani na heshma kwa viongozi

Busara busara busara
 
Kwanini huyo diwani asimzabe kibao kikali huyo mama mwenye kiburi....
wamama wa hivi wenye kuvimbia wanaume wananiudhi sana
 
Ilikuwa yule mama ale kibao tu
 
Songoro yupi hapo mkuu?
Meya Songoro Mnyonge ni huyo mwenye Joho na DED ni huyo Mama Liana mwanzo alikuwa Mkurugenzi wa Jiji alisumbua sana kupanga wafanyabiashara Stendi ya Magufuli
Rais wa awamu ya 5 akampeleka Kinondoni
 
Hahahaha hahahaha
Aise

Ova
 
Nyie bado sana,na mtatandikwa kila siku ina maana muislam mmoja akijilipua bomu kwa hulka yake ndio uanze kutukana uislam mzima?na hapo ni wapinzani tu mkipewa nchi si mtapeleka mavi kwenye nyumba za ibada za watanzania wengine sasa.

Mbona umeandika utopolo zaidi? Akili zako hazina akili! Hata puto linakuzidi...!
 
Huyu mama watu wanamuwekea data!!
Ni nukusi!!
Sasa kaingia kwa mwanaume wa Dar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…