Kutana na mkewe sasa utaomba ardhi ipasukeHuyo baba mbona ana chamba sana wakati nwenzake anamfunga speed governor?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutana na mkewe sasa utaomba ardhi ipasukeHuyo baba mbona ana chamba sana wakati nwenzake anamfunga speed governor?
namuona na muigizaji Richie kumbe alikukwaa Udiwani, basi Kinondoni inatisha hapo jamani, huyo Mama Mkurugenzi atalegea sio kipindi cha Mwendazake angeweza kushtaki juu zaidiSongoro Hahaha
Watu wa kata ya kambangwa wanamjua vilivyo
Ova
Aiseee !!Tanzania: Arusha RC Threatens to Resign
30 DECEMBER 2013
By Marc Nkwame
Arusha — ARUSHA Regional Commissioner Magessa Mulongo has threatened to resign from his office if the Arusha City Director, Ms Sipora Liana, will not approach him and apologise.
According to Mr Mulongo, who recently spoke to journalists, the City Director has been tarnishing his image by alleging that he was a corrupt person who takes bribes and forces decisions contrary to leadership principles.
Huyu Mama Analake
Alipokuwa anajenga bwawani paleHahahaaaa....... Umenikumbusha mbali bwashee!
Kinondoni wamejaa wazushi tunamuona na muigizaji Richie kumbe alikukwaa Udiwani, basi Kinondoni inatisha hapo jamani, huyo Mama Mkurugenzi atalegea sio kipindi cha Mwendazake angeweza kushtaki juu zaidi
Songoro yupi hapo mkuu?Daaaah......
Mh.Songoro Mnyonge na DED wake "kimeumana"...
Daaaah......
Mh.Songoro Mnyonge na DED wake "kimeumana"...
Nchi bado ina wazalendo wachache tulioamua kuiteteaSi mchezo! Nani amerekodi na kuvujisha video hii?
Ilikuwa yule mama ale kibao tuHata hivyo huyo Songoro katuabisha wanaume. Yeye anaongea maneno meeengi halafu mwanamama anaongea neno moja tu au mawili halafu anakaa kimya.
Kisha jamaa anaendelea kuongea tena maneno meeeeeengi.
Ku-deal na wanawake wa aina hii yapasa kuwa na akili.
Meya Songoro Mnyonge ni huyo mwenye Joho na DED ni huyo Mama Liana mwanzo alikuwa Mkurugenzi wa Jiji alisumbua sana kupanga wafanyabiashara Stendi ya MagufuliSongoro yupi hapo mkuu?
Ni ubabe kwenda mbele output 0Hapo utendaji hakuna
Hahahaha hahahahaMheshimiwa Songoro Mnyonge hanaga konakona
Kutofautiana kwenye vikao ni alama mojawapo ya kwamba viongozi wanafanya kazi huru, ila kugoma kusikilizana na kuendelea kujibishana kwenye vikao inaweza ondoa imani na heshma kwa viongozi
Busara busara busara
Hapo wote wamekutanaKwanini huyo diwani asimzabe kibao kikali huyo mama mwenye kiburi....
wamama wa hivi wenye kuvimbia wanaume wananiudhi sana
Duuh Songoro kaukalisha mtungi wa gesi
Hapendi dili na shortcuts..lazima mtofautianeHumjui wewe. Uliza sisi wawekezaji wa Wilaya ya Mkuranga alivyokuwa anatufanyia akiwa DED kule.
Nyie bado sana,na mtatandikwa kila siku ina maana muislam mmoja akijilipua bomu kwa hulka yake ndio uanze kutukana uislam mzima?na hapo ni wapinzani tu mkipewa nchi si mtapeleka mavi kwenye nyumba za ibada za watanzania wengine sasa.
Huyu mama watu wanamuwekea data!!Tanzania: Arusha RC Threatens to Resign