Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Basi Vibendera Mnaona Hoja na Kashinda tayari
hahahaa Kweli Tanzania Kuna Baadhi ya Vijana wapuuzi Kupindukia
huyo akipata 20% Mumpatie na Faru john Ashushie maaana utakuwa Ushindi kwake
Hatuzungumzii kuwa kashinda bali aliyejitanabaisha kuchukia mafisadi na mtetezi wa wanyonge kumbe ni jizi tu
 
Lissu akichukua nchi mtajuta. Huyu anatafuta upigaji akipata urais. Anasingizia wenzie bila ushahidi au vielelezo bayana. Hafai hata kwa mchuzi.
Kama ni uongo na anasingizia mbona wanaosingiziwa wamefyata mikia? Tumia ubongo kufikiria siyo hicho kiungo
 
Back
Top Bottom