Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Huyo mwenye camera ya kurekodi tukio, aliota kwamba kisanga kitatokea na mhusika atavunja kwa kutokea upande huo?Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
Hayo maigizo au IA bhana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwenye camera ya kurekodi tukio, aliota kwamba kisanga kitatokea na mhusika atavunja kwa kutokea upande huo?Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
Naam kuiiangalia direct hauwezi kuona alichosema.Nahisi alikuwa ana stop video kila baada ya robo sikunde ili Bwn John aonekane vyema.
KabisaNaam kuiiangalia direct hauwezi kuona alichosema.
To yeye weweee..!!Afu ni mzima kweli...kafumwa lakini john bado kasimama...
Hii ni movie au?Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
Ahaaaa kaacha hasara. Watu wanalala njeKwahiyo jamaa katokea ukutani😂😂😂