Uchaguzi 2020 Video: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aingia Mlimani City kununua mahitaji ya nyumbani

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu akionesha maana ya kuwa mtu-huru ndani ya nchi yake leo hii.

Kwani nani hayuko huyu tangu akiwa mtoto alikuwa anazurula tu na atauzula hadi uzeeni kama watanzania wenzake
 
Kwani kuna mtu anazuiwa kutembea .acheni siasa za kitoto
 
Wapi hii mkuu😂😂cha kibabe sana
 
Hahahaha Jiwe ana kiingereza feki
Asipokuwa makini Uingereza itamzuia kuongea lugha yao maana anaiharibu
 
Hivi alipokuwa mwalimu wa sekondari alikuwa anafundishaje? Mlisema pia ana PhD, ni kweli? Akuze kiswahili tu
 

Imenipita hii dah, Nipatie link ya video mkuu ni nivunjike mbavu
 

Halafu nikasikia watu wanapiga makofi wakati yeye anachochea
 
Ana kwambia... People use to die in the the lake
 
Kuna mahitaji mengine ya nyumbani yanapatikana uwanja wa taifa..., au pale aende kukagua uwanja huku akisafisha koo kwa kuongea na wananchi watakaokuwa wamekuja kumuona ili wabadilishane mawazo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…