USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Kwani nani hayuko huyu tangu akiwa mtoto alikuwa anazurula tu na atauzula hadi uzeeni kama watanzania wenzakeMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu akionesha maana ya kuwa mtu-huru ndani ya nchi yake leo hii.