Uchaguzi 2020 Video: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aingia Mlimani City kununua mahitaji ya nyumbani

Mwenzake anakagua miradi ya miundo mbinu ya Kimkakati na baadaye yeye apite humo. Hiyo ndio faida ya maendeleo ya Vitu:
 
Kwani nani hayuko huyu tangu akiwa mtoto alikuwa anazurula tu na atauzula hadi uzeeni kama watanzania wenzake

Ndiyo tabu ya wana wa mtaa wa Lumumba dhana hii nyepesi kabisa ya uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu imekuwa ngumu sana kuibaini, watu wa CCM wanaishi bila ya kutambua kuwa wanagandamizwa kwa kila hali.
 
Lissu the GREATEST kipenzi cha Watanzania wanaojitambua. Mwenyezi Mungu amlinde.
 
Kwa chadema mtu kwenda mahemezi ni big deal? Hiki chama ni kikongwe ila wadau wake mna mentality za kitoto
 
Mzee baba katika rangi yake halisi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
Watu na Nchi yetu.Tupo bize Tunazindua Miradi yenye Manufaa kwa Wananchi Moja kwa Moja.

Endeleeni kuselfika na jf.
 
Apigwe marufuku huyo kuongea kiingereza chake KICHAFU na kuliabisha Taifa.
 

wewe na kiingereza kisafi umefanikiwa kufanya nini mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…