4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Na nyie mwapelekeshwa kama akina nani?Chochote kile si mwaburuzwa tu Kama manyumbu
Mwenyekiti ndo rais ujinga gani huu, aliesema rais ni wa ccm nani?
Lichama limekufa sasa mwatangatanga kama kuku atakae taga mayai niseme hakuna muhujiza wa kuwatoa kwa mkwamo huu , mwafaa, alisha sema Bwana na ilisha kuwa ,mmechelewa sana