Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Hapana! Mimi ni baba yako wa kufikia.kwani ww ndie lissu au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana! Mimi ni baba yako wa kufikia.kwani ww ndie lissu au?
Ukiacha matako, Makonda hana kingine cha kuringia.Sioni mtu wa kuandamana,watanzania sio wajinga ambao wanaweza pelekwa na vibaraka wa wazungu ili kuvuruga amani na mstakabali wa taifa letu.Mwenyeki wangu makonda huhitaji kuwa na hofu juu ya hawa watu .
Aa,atapigwa Mbowe au Makonda so far hakuna anayejua.Kwa nini tuandikie mate,mdahalo uandaliwe.Hahahaha....ila hii nchi full of dramas ...nabisha sana huyu Bashite dakika moja tuu kwenye mdahalo na Mh Lissu atakuwa ameshapigwa K.O
Wenye chadema yao wamekubali mdahalo ila nyie wasindikizaji wa chama hamtaki 😂Mama Tozo
hv baba au mama ni nani?? Mana nimezaliwa maabara ningependa kujua, pili chadema msikwepe hoja za msing msiwe kama ccm mmeambiwa mwamba anataka mdahalo, nyie mmeanza kumtetea lisu ooh sio level zake sijui nn ndio mana nimewauliza nyinyi ndio tundulisu mpaka mjibu mbona yeye yupo si angejibu yeye huyo lissu mbona mnaviherehereHapana! Mimi ni baba yako wa kufikia.
HaikuwepoEnzi za shujaa hakukuwa na nidahalo?
Midahalo ni kw wenye upeo wa kuona mbali - level kali. Bashite atajiharibia kibarua, hajafikia hiyo level ambayo hata wasomi kina Cleopa Msy wamekiri kuwa ni high stds. Tena anasema atakuja peke yake...!! Bashite anaXana na Tundu...! Kweli...!! Ngoja tuone. Dah!Hahahaha....ila hii nchi full of dramas ...nabisha sana huyu Bashite dakika moja tuu kwenye mdahalo na Mh Lissu atakuwa ameshapigwa K.O
Ni kudhalilisha chama na viongozi wa chama, tukutane 24, na mfagio na dekio ,sabuni ya unga , na dum la maji ,mapema sana 24 naanza na usafi kwenye ofisi yake , na viatu nitamblashia yani , maana haijui duniaKwani kwa miaka mingi chadema si wamekua wakisema eti ccm inaogopa midahalo ya wazi,haya sasa mtu huyo kapatikana pelekeni watu wenu mkabishane kwa hoja,nyie si mnajiona mna hoja nzito
Mtakachoenda kuongea majukwaani itakua ni skendo za kisiasa tu coz mtu kawaambia njooni tufanye mdahalo wananchi wasikilize sera na hoja hamtaki bali mnataka muendelee kumchafua Kama kawaida yenu bila hoja za maana.Ni kudhalilisha chama na viongozi wa chama, tukutane 24, na mfagio na dekio ,sabuni ya unga , na dum la maji ,mapema sana 24 naanza na usafi kwenye ofisi yake , na viatu nitamblashia yani , maana haijui dunia
Hivi nyie ccm mnadhani mnasaidia mwenyekiti wenu, kama sio kumuumiza kwa mgongo wa uchawa,kisa maokoto hamna lolote bora wapinzani wa kweli kama chadema wanamwambia ukweliMtakachoenda kuongea majukwaani itakua ni skendo za kisiasa tu coz mtu kawaambia njooni tufanye mdahalo wananchi wasikilize sera na hoja hamtaki bali mnataka muendelee kumchafua Kama kawaida yenu bila hoja za maana.
Kwani nyie tangu lini mmemwambia ukweli mwenyekiti wenu mbowe?Hivi nyie ccm mnadhani mnasaidia mwenyekiti wenu, kama sio kumuumiza kwa mgongo wa uchawa,kisa maokoto hamna lolote bora wapinzani wa kweli kama chadema wanamwambia ukweli
Makonda huyu labda afanye mdahalo na Kingwendu ndiyo saizi yake. Anafikiri ukubwa wa makalio ndiyo wingi wa akili.Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.
Credit : Swahili Times
Pia soma: CHADEMA yakubali kufanya mdahalo na CCM
Kuhusu nini?Kwani nyie tangu lini mmemwambia ukweli mwenyekiti wenu mbowe?
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.
[ATTACH tkufanya mdahalo na CCAnataka mdahalo na lissu je amejianda na pampasi!Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.
Credit : Swahili Times
Pia soma: CHADEMA yakubali kufanya mdahalo na CCM
Chochote kile si mwaburuzwa tu Kama manyumbuKuhusu nini?