Pre GE2025 Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

Pre GE2025 Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makonda na Lisu nani anafatiliwa na wananchi kuzidi Mwingine?
Kujua sheria sio issue!

Nani anamfuatilia Makonda siku hizi?. Makonda bila kiki Hana jipya. Anajitahidi kuilinganisha na watu waliomzidi ila wapi. Aendelee na Ziara zake maana bila hizo atasahaulika kuliko Sofia Mjema.
 
Huyo tutawapa wakati wa kulishwa asali tuu ila mambo mengine tunawapa size yenu makonda na sabaya

Mnatupa wewe na nani?. Makonda hata mdahalo na joti hawezi. Yule bila kubebwa na uchawa Hana jipya.
 
Lissu mwenyewe anashikwashikwa na mabwana wake wa kizungu huko Uberigiji au tuanze kufukunyua nyuzi humu akiwa na mwenyekiti wa mashoga duniani,bora Makonda aliisha wai piga marufuku hao mashoga akiwa mkuu wa mkoa wa Dar, lakini Lissu hata bungeni wakati wanatunga sheria za kubana mashoga Lissu alikuwa anapinga eti wanaingilia uhuru wa faraga za watu, upuuzi mtupu.

Moyo wako unakushihudia unaongea uongo. Punguza uongo.
 
Sasa makelele ya nini! mwambieni Mbowe na Lisu wenu wajitokeze mbele ya Makonda kwenye mdahalo, mambo ya eshima peleka kwa mumeo,kama mnamwogopa semeni, Sio kubwekabweka kama mbwa koko.
Mbona unaandika kama unasukumiwa kitu!.... Mwambie huyo anaekusukumia apunguze kasi! Wee shosti!... Bahati mbaya huo mlango siutumii!...

braza du hii ndiyo staili yako ya kutafuta basha!? Wakurya hatufilimbi mkuu... Utanisamehe Bure!
 
Kwa kweli CHADEMA wamemkomesha Makonda. Wamefanya kuwa mdogo sana. Yeye awadharau akina Majaliwa huko na wanaccm wenzake wasio jielewa. Bila kuitaja CHADEMA Makonda atapotea mazima.
 
Mzee lukuvi akili kubwa aliwahi sema huyu Lisu huyu ndo kila kitu,ana akili sanaaaaa na anasoma sanaaa.Anaweza jifungia ndani akisoma,na akitoka hapo ni balaa!Tatizo ni huyu!

Sasa Bashite anachekeshaaa,et mdahalo hahahaaaaa
 
Mdahalo wa Nini? Mada kuhusu Nini?. Mtu kaona kasahaulika anataka kutumia jina la CHADEMA. Aende akawapigie simu mawaziri wa CCM . Mjinga mmoja hivi.
Mdahalo utahusu siasa au mnataka mzungumzie mpira.?
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.


Credit : Swahili Times
Mara nyingine kunyamaza ni jibu la kuficha ujinga. Makonda ana ubavu gani wa kufanya mdahalo ama na Lisu, Mbowe au Mnyika? Ni bahati mbaya sana jamaa ni mtu wa kiki na matukio lakini kichwani ni mweupe.
 
Huyo mhalifu alitakiwa awe gerezani Kwa ugaidi alioufanya kipindi cha mwendazake
IMG_20211218_014906.jpg
 
Ccm imegeuka kituko cha dunia, kwamba mtu sahii wa kujibu hoja ngum ambazo wametoa chadema pitia mwenyekiti wao ni uyu Makonda hii chama imekufa kifo kibaya sana
Kwani kwa miaka mingi chadema si wamekua wakisema eti ccm inaogopa midahalo ya wazi,haya sasa mtu huyo kapatikana pelekeni watu wenu mkabishane kwa hoja,nyie si mnajiona mna hoja nzito
 
mimi sio mshabiki wa Makonda wala Lissu, kifupi wote tu siwakubali.

Ila najiuliza, Makonda anataka mdahalo na Lissu kuhusu nini?
Chochote watakachokitaka ye yuko tayari,jeshi la mtu mmoja.wao si walisema ccm inaogopa midahalo haya sasa mtu kapatikana
 
Back
Top Bottom