Pre GE2025 Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

Pre GE2025 Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tangu nimeangalia Post ya kwanza mpaka ya #82.

Kuna vitu Nimegundua Ndugu zangu CCM, Tumekuwa watu wa kukosa kutetea Hoja zaidi ya kutukana au kulejeli na hii sio Nzuri sana..
Tujifunze kujenga hoja au kupinga hoja inapostahili..

Kama AHADI za Chama zinavyotutaka..
Shukrani
 
..Samia angekuwa mkweli kuhusu reconciliation angeunda Tume ya Haki, Ukweli, na Maridhiano, ili wote waliokosewa wakasikilizwe.

..Pia kitendo cha Samia kutowaondoa ktk nafasi zao wote waliohusika na matendo ya kikatili, na kuwapandisha vyeo wengine kama CP Kingai, ni uthibitisho kwamba hakuwa na nia njema na maridhiano.
hayo kayaweka wayajdili toka siku ya kwanza walikuwa wapi wakayasusia?

Wewe kitu usichokielewa, mchaga akikubali maridhiano ulaji wa wafadhili anaowategemea utakata.

Akiwa na Tundu Lissu anamwambia twebda na marudhiano. akiwa peke yake anasema maandamano.

Maandamanoi yanahusu nini? Kama si ujinga tu?

Hana ubunifu, ameshindwa maandamano ya Arusha watu wakafa, akashindwa maandamani ya Dar watu wakafa sasa anataka kumwaga damu nyingine?

Kwa mama Samia kamkuta, naamini atasema waache waandamane. Hapo ndiyo itakuwa wamjimaliza kabisa.

Ukishaandamana ukawasilisha yako una nini kingine zaidi?

Huyo hana sera na mwaka uchaguzi huu, anatafuta kuleta ujinga wake tu. Stukeni mapoyoyo, kila siku nyinyi mnafanywa wajinga tu.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.

Credit : Swahili Times

Huyo mjinga kaona Hana jipya anataka kiki kupitia CHADEMA. Si alikuwa anawaita watoa taarifa, imekuaje Tena anaomba mdahalo. Na bado
 
Sioni mtu wa kuandamana,watanzania sio wajinga ambao wanaweza pelekwa na vibaraka wa wazungu ili kuvuruga amani na mstakabali wa taifa letu.Mwenyeki wangu makonda huhitaji kuwa na hofu juu ya hawa watu .

Punguza uongo. Kuna kibaraka wa mzungu kuliko CCM ? Maana ndio anayemtegemea kukopa fedha.
 
hayo kayaweka wayajdili toka siku ya kwanza walikuwa wapi wakayasusia?

Wewe kitu usichokielewa, mchaga akikubali maridhiano ulaji wa wafadhili anaowategemea utakata.

..Na kuwateua watendaji kama Kingai, Makonda, huku akidai anataka maridhiano unaona ni uungwana?

..Tume ya Ukweli, Haki, na Usuluhishi, angeweza kuiunda bila kutegemea uwepo wa mazungumzo. Mbona ameunda tume za kila aina isipokuwa hiyo?

..Mashabiki wa Samia mwambieni ukweli. Msimpoteze kwa kumuonea aibu anapokosea.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.

Credit : Swahili Times

Mlisema kapewa hela, kanyamazishwa bla bla, mimi mvua, jua nimechagua kumwamini Mbowe.
 
hayo kayaweka wayajdili toka siku ya kwanza walikuwa wapi wakayasusia?

Wewe kitu usichokielewa, mchaga akikubali maridhiano ulaji wa wafadhili anaowategemea utakata.

Akiwa na Tundu Lissu anamwambia twebda na marudhiano. akiwa peke yake anasema maandamano.

Maandamanoi yanahusu nini? Kama si ujinga tu?

Hana ubunifu, ameshindwa maandamano ya Arusha watu wakafa, akashindwa maandamani ya Dar watu wakafa sasa anataka kumwaga damu nyingine?

Kwa mama Samia kamkuta, naamini atasema waache waandamane. Hapo ndiyo itakuwa wamjimaliza kabisa.

Ukishaandamana ukawasilisha yako una nini kingine zaidi?

Huyo hana sera na mwaka uchaguzi huu, anatafuta kuleta ujinga wake tu. Stukeni mapoyoyo, kila siku nyinyi mnafanywa wajinga tu.

..Mbowe na Chadema hawana bunduki na mabomu ya kuuwa waandamanaji.

..Kuwa mkweli kuhusu upande gani unaua waandamanaji hapa Tz.
 
Hahahaha....ila hii nchi full of dramas ...nabisha sana huyu Bashite dakika moja tuu kwenye mdahalo na Mh Lissu atakuwa ameshapigwa K.O
Yaani Bashite kuaminiwa na Mama tayari ameshajiona anajua kila kitu!!. TL ni mashine nyingine kabisa. Anachotaka ni sawa na Singida United kuomba mechi na Manchester united!
Hahahahaha.....
 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.

Credit : Swahili Times
Aibu ya karne hii
 
Makonda huyu aliyetukana Mwandishi wa habari kisa kaulizwa kuhusika kwake kwenye kupigwa risasi. Yeye asubirie kupewa Nini Cha kusema.
 
Sasa si mwambieni Mbowe na Lissu wenu wakubali huo mdahalo huo,ili mbivu na mbichi zijulikane?Makonda katoka hadharani kuwataka viongozi wote wa chadema wajikusanye na wawalete waandishi wa habari watakao wataka wao,yeye atakuwa peke yake ili Watanganyika tuujue ukweli, Chadema mnaanza drama,Wambieni viongozi wajitokeze mbele ya Makonda sio kuongelea chooni.Mwamba kaisha wapa nafasi ya kuwajibu maswali yenu na mkoshindwa kujitokeza,tuwaone humu mkifungua tired za kumuusu Makonda.

Pole yao Kama bado unamchukulia serious Makonda. Makonda kapwaya sana kaona njia ya kurudia kwenye kiki ni kuwataja akina Lissu. Mjinga kweli, haoni kwamba kawekwa hapo kimtego?. Yeye akae kimya awe chawa wa Mama Samiah.
 
Lisu yeye ni nani? Unadhani siasa ni kuorodhesha vifungu vya sheria!

Na Makonda ni nani zaidi ya chawa wa mama. Yeye aendelee kumlamba mama miguu asimtoe hapo maana kapwaya sio kidogo. Njia iliyobakia ni kuwataja akina Lissu ili aonekane anafanya kazi.
 
Yaani Bashite kuaminiwa na Mama tayari ameshajiona anajua kila kitu!!. TL ni mashine nyingine kabisa. Anachotaka ni sawa na Singida United kuomba mechi na Manchester united!
Hahahahaha.....
Makonda na Lisu nani anafatiliwa na wananchi kuzidi Mwingine?
Kujua sheria sio issue!
 
Chadema bhana 😂 ccm wakitaka mdahalo nyie mnadai hamtaki mdahalo mana hawezi kujibu hoja zenu yn mtadhani tayari mlishawahi kufanya mdahalo nae

Mdahalo wa Nini? Mada kuhusu Nini?. Mtu kaona kasahaulika anataka kutumia jina la CHADEMA. Aende akawapigie simu mawaziri wa CCM . Mjinga mmoja hivi.
 
Unatumia kigezo gani kumwita Makonda hopeless?
Huyo Mbowe ana nini chaziada kumzidi Makonda?
Huyo mla ruzuku zenu mnamuonaga Mungu sio?

Makonda zaidi ya kiki ni mweupe sana. Ameongea hivyo ili kujipa kiki maana kashasahaulika. Watu Wana mambo yao. Yeye awapigie simu akina awesu kuhusu maji na kumsimamia Waziri Mkuu.
 
Back
Top Bottom