Unatumia kigezo gani kumwita Makonda hopeless?Hopless kama makonda hana hadhi ya kufanya mdahalo na mwamba mbowe,
Huyo Mbowe ana nini chaziada kumzidi Makonda?
Huyo mla ruzuku zenu mnamuonaga Mungu sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia kigezo gani kumwita Makonda hopeless?Hopless kama makonda hana hadhi ya kufanya mdahalo na mwamba mbowe,
Mdahalo na mtu mwenye vyeti vya uwizi serious??Unatumia kigezo gani kumwita Makonda hopeless?
Huyo Mbowe ana nini chaziada kumzidi Makonda?
Huyo mla ruzuku zenu mnamuonaga Mungu sio?
Kumbe Nyani Ngabu uko vizuri kwenye kisukuma?Naandika vyovyote navyotaka!
Nilekage. Ize nagutule ubhebhe.
Huyu "uwezo mdogo" anajua nini??Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.
Credit : Swahili Times
Nakubaliana na utafiti uliyowai kufanywa kwamba kati ya watz idadi fulani mmoja anaugonjwa akili, nisaidie watz huyo ni nan hapa tz?Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.
Credit : Swahili Times
Wala si hivyo lakini Makonda hana akili ya kujadiliana na wenye akili.Lisu yeye ni nani? Unadhani siasa ni kuorodhesha vifungu vya sheria!
Aiseee!!! Yule alikuwa anamufuatilia na gari nyeupe siku zile!!!Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amependekeza kufanyike mdahalo wa wazi kati yake na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ili Watanzania wachague ikiwa wataendelea na maandamano au kuchagua maridhiano.
Credit : Swahili Times
Sasa makelele ya nini! mwambieni Mbowe na Lisu wenu wajitokeze mbele ya Makonda kwenye mdahalo, mambo ya eshima peleka kwa mumeo,kama mnamwogopa semeni, Sio kubwekabweka kama mbwa koko.Paul Daudi Albert Bashite almaarufu Makonda, Aje tufanye mdahalo kwenye jukwaa la Mikeka jinsi Barcelona anavyokufa leo!...
Pengine hapa kidogo! Anaweza kujitahidi kubashiri!.... Lakini mdahalo na lissu hata wakufunzi wake tu Udsm... Wanalihanya hilo lidude la kuitwa lissu
kufanya mdahalo na lissu... Ni kumkosea lissu heshma... Sawa na makonda kutaka kulala wanapolala baba zake!
Labda huelewi maana ya Reconciliation.Ina maana Makonda hajui kwamba maridhiano yalishakufa, ndio maana yeye akawekwa hapo ili kumrahisishia njia yule aliyemweka aliyeshindwa kufanya kulingana na maridhiano?
Samia ndie anayetakiwa kuitisha mdahalo na viongozi wa Chadema, sio Makonda, yeye amepewa cheo juzi tu, hajui A wala B kuhusu maridhiano.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Thubutu, wewe unamuona Lissu wa maana sana kwa ile fokafoka yake ya kiuchungaji?Hahahaha....ila hii nchi full of dramas ...nabisha sana huyu Bashite dakika moja tuu kwenye mdahalo na Mh Lissu atakuwa ameshapigwa K.O
Labda huelewi maana ya Reconciliation.
Falsafa hiyo ya mama Samia itakufaje? Ni ama wewe unayataka maridhiano ama huyataki lakini falsafa iko palepale na ndiyo inatuongoza Watanzania kwa sasa.