Pre GE2025 Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chochote kile si mwaburuzwa tu Kama manyumbu
Na nyie mwapelekeshwa kama akina nani?
Mwenyekiti ndo rais ujinga gani huu, aliesema rais ni wa ccm nani?

Lichama limekufa sasa mwatangatanga kama kuku atakae taga mayai niseme hakuna muhujiza wa kuwatoa kwa mkwamo huu , mwafaa, alisha sema Bwana na ilisha kuwa ,mmechelewa sana
 
Msije kulalamika kwamba kura zimeibiwa japokua siipendi ccm lakini vyama mbadala navyo havina hoja za kueleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…