Video: Makonda aumbuka , uongo wake dhidi ya Mdee kuhusu barabara ya Makongo wakwama

Machozi yananitoka, BASHITE utaacha lini uongi? wewe si umejipambanua kuwa umeokoka?
Utaaach lini dhambi na ujangili wa maneno?
Ona sasa unaumbuka mpumb..wewe
Wewe lia tu mtoto mzuri..hahaha

Viva Makonda
 
Wapinzani hawana ubaya wenye chuki ni CCM wapo wapi akina Sadam Hussein Abacha mabutu Iddy Amin dada Elbashiri Gadafi?


Wameshakufa, kwani wako wapi akina Ndesamburo, Mengi, Nyerere, Sita, Mapalala, Makani, Mareale, Tundu, ... ?
 
Wewe lia tu mtoto mzuri..hahaha

Viva Makonda
Mazombi badala mzungumzie utendaji unazungumzia mtu persona, sasa VIVA MAKONDA UNAMAANISHA nini?

Kumbuka MAKONGO, kule wengi ni wasomi si sawa na wewe hapo unapokaa fala wewe, kule wengi ni vijana wamesoma, wanajeshi wastaafu, watu na hela zao si nyumba za uridhi, hakuna nyumba za uridhi kule,
 
wewe usitupangie cha kuandika
 
Cha ajabu CCM licha ya kuwa na maprofesa huwa tegemeo lao kwa kila kitu ni huyo std 7!kibajaji na wasio na vyeti na majina bandia akina Bashite cyprian Musiba na wenzao, CCM sijui mnakosea wapi!
Na akina Saidi Bagaile.
 
Machozi yananitoka, BASHITE utaacha lini uongi? wewe si umejipambanua kuwa umeokoka?
Utaaach lini dhambi na ujangili wa maneno?
Ona sasa unaumbuka mpumb..wewe
Bashite ni mkuu wa kitengo cha kamati za ufundi cha mtukufu anamiliki waganga wa kienyeji zaidi ya 65 kwa mujibu wa le mutuz ambaye ndiye hutumwa kuwafuata Nchi mbalimbali Duniani, huo Ulokole wake ni zuga zuga tu hajaokoka chochote kile.
 
Bashite ni mkuu wa kitengo cha kamati za ufundi cha mtukufu anamiliki waganga wa kienyeji zaidi ya 65 kwa mujibu wa le mutuz ambaye ndiye hutumwa kuwafuata Nchi mbalimbali Duniani, huo Ulokole wake ni zuga zuga tu hajaokoka chochote kile.
Pamoja na waganga wote hao ila kipigo cha Mashangazi wa Ruangwa kikamuingia Jiwe.
 
 
Mh Halima Mdee alishapeleka maombi ya kujengwa kwa barabara hiyo bungeni , katika vikao vilivyoongozwa na Naibu Spika Tulia Ackson.

UKIWA MUONGO JITAHIDI USIWE MSAHAULIFU

Jionee mwenyewe
Mbona clip yenyewe ya kuchonga hiyo acha uongo! Huyo Mdee wala hatembelei jimbo lake tangu achaguliwe sisi huku Mbezi Beach hatujawahi kumwona. 2020 hatutakosea tena!
 
Bashite karithi wendawazimu wa "baba" yake!
hatari DAB hana vyeti huku baba yake anadaiwa kuhojiwa kwa PhD yake
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio maana hawatumbuani wote wananuka wanagopa kugusana
 
Wameshakufa, kwani wako wapi akina Ndesamburo, Mengi, Nyerere, Sita, Mapalala, Makani, Mareale, Tundu, ... ?
Wale wasiojulikana waliokwenda na Bashite Dodoma kumshambulia kwa kumpiga Risasi Tundu lisu wote wana majanga mmoja alikufa kule mbeya mwingine yupo huko shinyanga kawa kichaa na juzi juzi nyaulingo alipata ajali Bagamoyo akiwa anatoka kwa mganga wa kienyeji akavunjika miguu yote na jicho kutoka na inasemekana alishazikwa ingawa akina Bashite wanaficha sana, na sasa Bashite kapoteza kumbukumbu anaropoka hovyo siku ya Ndege akaomba pesa mara ya pili pesa ambazo zilishatolewa na sasa kaingilia barabara ambazo zipo kwenye bajeti tayari, malipo ni hapa hapa Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…