HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jul 28, 2024 #801 Makonda ni kiongozi mzuri ila anahitaji breki za bambo
Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 13,417 Reaction score 23,310 Jul 28, 2024 #802 Madwari Madwari said: Hivi Makonda hana watu wa kumshauri kweli anafanya Nini TANZANIA ? Kuna watu wana matumaini ambayo ni infeasible. Kurefer ya sabaya Makonda alitakiwa ahame nchi siku nyingi sana. Click to expand... Ni kweli ulitoa ushauri mzuri
Madwari Madwari said: Hivi Makonda hana watu wa kumshauri kweli anafanya Nini TANZANIA ? Kuna watu wana matumaini ambayo ni infeasible. Kurefer ya sabaya Makonda alitakiwa ahame nchi siku nyingi sana. Click to expand... Ni kweli ulitoa ushauri mzuri
Etwege JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 7,207 Reaction score 17,674 Jul 28, 2024 #803 Stuxnet said: Ni kweli ulitoa ushauri mzuri Click to expand... Makonda ni RC wa Arusha lakini nyumbu wako vilevile tu
Stuxnet said: Ni kweli ulitoa ushauri mzuri Click to expand... Makonda ni RC wa Arusha lakini nyumbu wako vilevile tu
Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 13,417 Reaction score 23,310 Jul 28, 2024 #804 Etwege said: Makonda ni RC wa Arusha lakini nyumbu wako vilevile tu Click to expand... Yuko wapi Makonda kwa sasa? Au na wewe utasema yulo likizo kama alivyosema RAS
Etwege said: Makonda ni RC wa Arusha lakini nyumbu wako vilevile tu Click to expand... Yuko wapi Makonda kwa sasa? Au na wewe utasema yulo likizo kama alivyosema RAS