Video: Manara akimvisha pete Mchumba wake Zailyssa, amtoa machozi

Dua zipi unazotaka zaidi ya kulogwa na kutongozewa mke wako, Watanzania wamepokea maombi yako utapokea ulichokiomba #Manara sijui manara ya Simu ama Radio 🤔
 
Ila hii duniaaa, Naona mume wa watu na mke wa mtu wakiamua kuoana kabisa baada ya uchepukaji kunoga.
 
Afadhali anahalalisha hataki kukaa na mtoto wa watu kizembe 😂 Kama ana watoto pia kwa wake wengine na anatoa huduma na kutunza watoto wake !! Hayo mengine watajuana ndani yeye na mtu wake !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…