Video: Manara akimvisha pete Mchumba wake Zailyssa, amtoa machozi

Video: Manara akimvisha pete Mchumba wake Zailyssa, amtoa machozi

She is not into him..
Just for business..
Hawa miezi mitatu mingi...

Anyway watakuwa wsashaingiza pesa.
Hivi kwanini wengi mnamsema Zai peke yake? Huyo Manara ana utulivu gani wa kuaminika?
Mimi naona anamtumia Zai kumuumiza ex wake Rushyna.
 
Hivi kwanini wengi mnamsema Zai peke yake? Huyo Manara ana utulivu gani wa kuaminika?
Mimi naona anamtumia Zai kumuumiza ex wake Rushyna.
Kwan mbna wameshaanza vijembe kati ya dullah na sope, yaan full tafranii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hayuko romantic? Anasita kupiga goti, anauliza swali la msingi kwa lengo la kufurahisha hadhira.

Anyways, nimefurahishwa na huo wimbo aliokuwa akiuimba Nandy, na kaimba vizuri kuendana na tukio wahusika ndio wameharibu wenyewe.
Huyo mwanamke mh. Eye contact yake ni ya kiswahili swahili hivi i.e. ham-face Manara kwa kumwangalia direct machoni mwake. Japo wasichana wa Bongo wengi ndivyo walivyo lakini huyu kazidisha. Eye contact kwenye mapenzi ni muhimu sana. Au pengine mimi nimekuwa obsessed na uzungu zaidi?
 
Wewe uko kama mimi, eye contact ndio kila kitu.
Napenda sana kuangaliana machoni bila kusemeshana chochote, macho yana lugha tamu katika mapenzi wengi hawajui!

Wote hapo ni waswahili wamekutana, hilo tukio ni very romantic na kumbukumbu kubwa kwa wanaopendana kweli, wao wamefanya kiswahili mwanzo mwisho!
 
In short matapeli wamekutana?[emoji23][emoji23]
 
Yote kwa yote mwanamke ndo mwenye maamuzi..mwanamke ndo anayetongozwa.
 
Mwanamke anayependa kusukumwa mbolea wengi wanakua na wadudu makalioni..huwa hawana utulivu..
 
Manara Hakui, he needs to handle his character, ndoa sio miujiza au kubadili wanawake, ni commitment, mapambano, kujijenga kitabia, hata hii ndoa itafeli.
 
Kila la kheri ila bint hata kumkiss manara anakwepa kwepa wakati hapo lilitakiwa liwe kiss zito mpaka lips ziwe nyekundu
Viatu vya zailisa havinitoshii🙌🙌mtihani aiseee..Mungu nisamehe🙏
 
Back
Top Bottom