Video: Manara akimvisha pete Mchumba wake Zailyssa, amtoa machozi

Mbona hayuko romantic? Anasita kupiga goti, anauliza swali la msingi kwa lengo la kufurahisha hadhira.

Anyways, nimefurahishwa na huo wimbo aliokuwa akiuimba Zuchu, na kaimba vizuri kuendana na tukio wahusika ndio wameharibu wenyewe.
 
Kwani hawa watu ni wa kina nani huko darisalama?

Mnatuchanganya huku Chitoholi mjue?????
 
Kila mtu hupata wa kufanana naye. Na kwa bahati wawili hawa nawajua kwa ukaribu, naweza kusema kuwa wamekutana.

Wote tayari wana watoto, pia wote tayari wana talaka. Ila hayo siyo kitu, kubwa zaidi wote ni wachongaji midomo wazuri.

Nadhani, baadhi yetu hatukupata nafasi ya kumjua Zaylisa. Kwa 'mdomo' tu, nadhani sasa Manara amepata mwenza.

Kwa mfanano wao wawili hawa, inaweza kuwafanya wadumu. Binafsi nawatakia kila la kheri.

Ova
 
Mbona hayuko romantic? Anasita kupiga goti, anauliza swali la msingi kwa lengo la kufurahisha hadhira.

Anyways, nimefurahishwa na huo wimbo aliokuwa akiuimba Zuchu, na kaimba vizuri kuendana na tukio wahusika ndio wameharibu wenyewe.
Naskia huwa anazimia mzungu wa magomeni
 
Waambieni Hawa jamaa waache ujinga.
 
Mbona hayuko romantic? Anasita kupiga goti, anauliza swali la msingi kwa lengo la kufurahisha hadhira.

Anyways, nimefurahishwa na huo wimbo aliokuwa akiuimba Zuchu, na kaimba vizuri kuendana na tukio wahusika ndio wameharibu wenyewe.
She is not into him..
Just for business..
Hawa miezi mitatu mingi...

Anyway watakuwa wsashaingiza pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…