Hivi kwanini wengi mnamsema Zai peke yake? Huyo Manara ana utulivu gani wa kuaminika?She is not into him..
Just for business..
Hawa miezi mitatu mingi...
Anyway watakuwa wsashaingiza pesa.
Vip unamkokeaga moto wa kuni unaogopa kibarua kuota nyasiššš.Mzee Manara bado anaoa!
Kwan mbna wameshaanza vijembe kati ya dullah na sope, yaan full tafraniiHivi kwanini wengi mnamsema Zai peke yake? Huyo Manara ana utulivu gani wa kuaminika?
Mimi naona anamtumia Zai kumuumiza ex wake Rushyna.
Shoga nasikia kuna connection ya Zai huko balaa, hebu ngoja tuone.Kwan mbna wameshaanza vijembe kati ya dullah na sope, yaan full tafranii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mwanamke mh. Eye contact yake ni ya kiswahili swahili hivi i.e. ham-face Manara kwa kumwangalia direct machoni mwake. Japo wasichana wa Bongo wengi ndivyo walivyo lakini huyu kazidisha. Eye contact kwenye mapenzi ni muhimu sana. Au pengine mimi nimekuwa obsessed na uzungu zaidi?Mbona hayuko romantic? Anasita kupiga goti, anauliza swali la msingi kwa lengo la kufurahisha hadhira.
Anyways, nimefurahishwa na huo wimbo aliokuwa akiuimba Nandy, na kaimba vizuri kuendana na tukio wahusika ndio wameharibu wenyewe.
Wewe uko kama mimi, eye contact ndio kila kitu.Huyo mwanamke mh. Eye contact yake ni ya kiswahili swahili hivi i.e. ham-face Manara kwa kumwangalia direct machoni mwake. Japo wasichana wa Bongo wengi ndivyo walivyo lakini huyu kazidisha. Eye contact kwenye mapenzi ni muhimu sana. Au pengine mimi nimekuwa obsessed na uzungu zaidi?
Wewe uko kama mimi, eye contact ndio kila kitu.
Napenda sana kuangaliana machoni bila kusemeshana chochote, macho yana lugha tamu katika mapenzi wengi hawajui!
Wote hapo ni waswahili wamekutana, hilo tukio ni very romantic na kumbukumbu kubwa kwa wanaopendana kweli, wao wamefanya kiswahili mwanzo mwisho!
Akili za nyeg dohš!
Likewise for Zai....Mimi naona anamtumia Zai kumuumiza ex wake Rushyna.
Viatu vya zailisa havinitoshiiššmtihani aiseee..Mungu nisamehešKila la kheri ila bint hata kumkiss manara anakwepa kwepa wakati hapo lilitakiwa liwe kiss zito mpaka lips ziwe nyekundu
Best hii dhambi usiache kunirushia,mzungu wa magomeni atazimia tenaShoga nasikia kuna connection ya Zai huko balaa, hebu ngoja tuone.
Show off humchukiza sana Shetani ambapo hutumia kila mbinu atenganishe ndoa.Life span ya ndoa kama hizi huwa hazidumu muda mrefu kama vibarua vya makocha wa timu za kibongo
Ndo nasikia na mie, nahamu kuiona hatari.Shoga nasikia kuna connection ya Zai huko balaa, hebu ngoja tuone.