Uchaguzi 2020 Video: Mapokezi ya Tundu Lissu huko Igunga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hakika usije ukathubutu kushindana na aliyejaaliwa , pamoja na vikwazo vya kila namna ikiwa ni pamoja na uchawi , lakini Mh Lissu anazidi kuungwa mkono.

Haya hapa ni mapokezi yake alipokuwa anaingia viwanja vya Barafu Mjini Igunga - Tabora, jionee mwenyewe

Your browser is not able to display this video.
 
Meishia ona minara mitatu ya kanisa, mmoja mrefu kuliko mwingineee, hii inamaana gani?
 
Hushindi wewe ila wewe ni mwamba hatari umebadilisha upepo kiufupi unatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…