Uchaguzi 2020 Video: Mapokezi ya Tundu Lissu huko Igunga

Uchaguzi 2020 Video: Mapokezi ya Tundu Lissu huko Igunga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hakika usije ukathubutu kushindana na aliyejaaliwa , pamoja na vikwazo vya kila namna ikiwa ni pamoja na uchawi , lakini Mh Lissu anazidi kuungwa mkono.

Haya hapa ni mapokezi yake alipokuwa anaingia viwanja vya Barafu Mjini Igunga - Tabora, jionee mwenyewe

 
Tunae kazi
IMG-20201012-WA0046.jpg
 
Meishia ona minara mitatu ya kanisa, mmoja mrefu kuliko mwingineee, hii inamaana gani?
 
Back
Top Bottom