Video: Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli Yemen na Wanajeshi 70 waliuawa

Hapana. Uongo na Uzushi vitabaki kuwa ni uongo na uzushi hata kama vimesemwa na IDF, Marekani, Houthis na wanaofanana na hao.
Sasa kama hata ukiwekewa fact unazikataa hapo weww ndio mwenye tatizo, nimekwambia unaweza kuamini ofisi zote za idf na ministry of defence ya israel inategemea umeme kutoka turkey, najua hujawahi kujua hili kwakuwa ulishaaminishwa israel ni kila kitu ni kama mungu wako
 
Ulishawahi kumwagwa damu na muislamu?
Au kwenye familia yako au ukoo mshawahi kumwagwa damu na waislamu
Uchunguzwe wewe huenda ukawa gaidi
 
Mkuu; usichanganye mambo ya biashara halali zinazofanywa na makampuni na vita dhidi ya makundi ya kigaidi ndani ya nchi. Hivyo ni vitu viwili tofauti. Wenzetu umeme unasambazwa na kuuzwa na makampuni sio hapa bongo kazi hiyo inafanywa na Serikali kupitia shirika la Umeme.
 
Hawanaga akili hawa wavaa kobaziii... 😁😁
 
Acha uongo wewe, upsnde wa umeme Israel inajiyosheleza, ila kwa ajili ya mahusiano ya kibiashara na Turkey imeamua kununua 7% ya umeme wake kutoka Turkey. Turkey akiamua kuukata itakula kwake, maana yeye ndiye atakayepoteza, siyo Israel sababu upande wa umeme yupo vizuri.
Biashara nyingine nazo ni za kimahusiano tu as win-win, Israel anauza Turkey, Turkey naye anauza Israel.
 
Huyo hana anachojua ila anaandika alichokisoma, siyonalichoelewa au anachokijua. Hata huo umeme Israel inainunua Turkey ni 7% na siyo kama hajitosheleza bali ni sababu za kimahusiano tu na hapo Turkey ndiye anaibembeleza hiyo biashara
 
NIlishasema wakristo wà tanzania wengi ni kama mazombi kwa israel, haya pata facts hizo kutoka kwa muisrael mwenyewe, wamekuwa wakihudumiwa na turkey kwenye ministry of defence na ofisi za idf since 2004 , turkey viwanda vyake vinahudumia dunia nzima including israel, ndio maana hata leo unaona wafanyabiashara dunia nzima wanaenda turkey
Haya pata shule kidogo achana na story za wachungaji wako wa ileje
 

Attachments

  • Screenshot_20240810-155246_Chrome.jpg
    425.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240809-122335_Chrome.jpg
    357.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240809-122355_Chrome.jpg
    361.7 KB · Views: 1
Huyo hana anachojua ila anaandika alichokisoma, siyonalichoelewa au anachokijua. Hata huo umeme Israel inainunua Turkey ni 7% na siyo kama hajitosheleza bali ni sababu za kimahusiano tu na hapo Turkey ndiye anaibembeleza hiyo biashara
nani anahitaji mahusiano, turkey keshazuia biashara zote na israel sasahivi israel kabaki analia lia tu kiburi huku anategemea kila kitu uturuki na kuagiza nchi nyingine gharama ni kubwa na houthi wanazuia red sea
 
Kwa hiyo ulikua unatakaje?!
 
Kwa hiyo ulikua unatakaje?!
Labda tukuulize myahudi kutoka ileje maana bwana ritz kaleta taarifa ila wayahudi wa ileje hamkubali kwa kuwa mmeshaaminishwa uongo na wachungaji wenu kumbe kanchi chenyewe mnachodanywa kapigana na mgambo kaishiwa hadi wanajeshi
 
Mbona unachuki hivyo na waisrael? Walikufanya nini?
 
Labda tukuulize myahudi kutoka ileje maana bwana ritz kaleta taarifa ila wayahudi wa ileje hamkubali kwa kuwa mmeshaaminishwa uongo na wachungaji wenu kumbe kanchi chenyewe mnachodanywa kapigana na mgambo kaishiwa hadi wanajeshi
Hasira ya nini?! Kwani wayahudi walikufanya nini?
 
Labda lugha inakupa tabu nani anaimiliki dorad energy? Ndio uone hawa wazayuni hawana chochote wanategemea sana viwanda vya turkey ,ila kwa mdomo utafikiri wana kila kitu sasahivi wanalialia tu kumlaumu turkey kwa kuzuia bidhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…