Aisee hatari ,hawasemiWanaukumbi,
Angalia hizo video
Marekani na
IDF ilifanya operesheni iliyofeli katika huko Yemen na Wanajeshi wao 70 waliuawa hapo hapo.
Msikilize Kanali wa Marekani Douglas Macgregor. Akieleza kilichotokea huko Yemen.
Video ingine ni Maiti za Wanajeshi wa Marekani na Israel zikiwa zimesambaa baada ya kushambuliwa na Wayemen.
Mungu baba, mwana na roho mtakatifu.Mtu anayejua dini na mungu anaweza kumwita binadamu mungu? Mtu anayejua dini anaweza kusema kuna mungu watatu?
Embu acheni mambo yenu
Wewe unajua kuhusu habari israel kuliko waisrael wenyewe ambao wanamiliki times of israel
Leo huendi kwa Mwamposa?Wewe endelea kubwabwaja nyuma ya keyboard ni haki yako, ila magaidi hapo Gaza yanajua shughuli ya IDF pamoja na ShinBet.
Larry C. Johnson aliyekuwa Mchambuzi wa Intel wa CIA :Tena Palestina wapigwe mchana usiku, Mfalme Daudi akirudi atawashangaa wanavyopiga polepole
Mkuu wewe unaumia nini hawa wauaji wa watoto wakilipwa kwa wanachokifanya Gaza.Kwani maiti zimeonesha pia vitambulisho vyao kuwa ni wa Yemen? Mtu yeyote aweza kuedit na kupachika maneno yake hapo na kudai ni Afghanistan, ni Marekani, ni Sudan ni Israel n.k.
70 Israeli commandoes with some American and British special forces launched an operation against the Houthis.Tena Palestina wapigwe mchana usiku, Mfalme Daudi akirudi atawashangaa wanavyopiga polepole
Naona unajipoza kwa habari za kuokoteza uchochoroni.
Alah akbaru mkuuNa wao pia hawakuua Houthi hata mmoja.
Wamevamiwa ghafla kama kuku wale kuku wa kufuga.
Siku ikatokea Muarabu au muislam kaweza waua IDF 70 Allah atawapa Mtume mpyaWanaukumbi,
Angalia hizo video
Marekani na
IDF ilifanya operesheni iliyofeli katika huko Yemen na Wanajeshi wao 70 waliuawa hapo hapo.
Msikilize Kanali wa Marekani Douglas Macgregor. Akieleza kilichotokea huko Yemen.
Video ingine ni Maiti za Wanajeshi wa Marekani na Israel zikiwa zimesambaa baada ya kushambuliwa na Wayemen.
Israel imechapisha majina ya magaidi wa hamas waliouawa kwenye lile shambulizi la shule magaidi wenu wa hamas wanajificha maeneo ya shule wakishambuliwa mnakuja kulia lia watoto wanauawaNi punguani peke yake ndiyo hawezi kuwachukia Waisrale yaani watu wanauwa watoto zaidi ya 15.000 na wanawake wanapiga mabomu shule unataka watu wawapende? Labda mashoga peke yake na mapunguani ndiyo wataendelea kuwapenda.
Hamas waliouawa kwenye lile shambulizi idf imetoa majina yaoPropaganda za kishoga hizo zimeishapitwa kwa hiyo Hamas wanatumia watoto kama ngao mabomu yakirushwa yanawachagua watoto na kuwacha Hamas?
Wewe lazima utakuwa Upinde[emoji304]
Siajaelewa yaan niwe na nishati ya kutsheleza halafu tena ni nunua kwa majirani kwa nini ni simuuzie huyo jiranHuyo hana anachojua ila anaandika alichokisoma, siyonalichoelewa au anachokijua. Hata huo umeme Israel inainunua Turkey ni 7% na siyo kama hajitosheleza bali ni sababu zeea kimahusiano tu na hapo Turkey ndiye anaibembeleza hiyo biashara
Turkey ni nch ya ulaya lakini ina very vost effective kwenye product zake with high quality wayahudi wakitaka kununua kutoka kwa usa watakoma maana bidhaa ile ile itakuwa inauzwa karibia mara 3 zaidiTurkey hawahitaji chochote kutoka israel ndio maana wameamua kufuta biashara zote na israel ndio anaolalamika
Kama ulikuwa hujui israel anategemea sana viwanda vya turkey ,na turkey wala hategemei chochote kutoka israel maana ina viwanda vingi na imejitosheleza, na israel akisema aagize kutoka china au nchi nyingine red sea hapapitiki
Akichapisha hata jina la baba yako utakuja hapo kubweka piaIsrael imechapisha majina ya magaidi wa hamas waliouawa kwenye lile shambulizi la shule magaidi wenu wa hamas wanajificha maeneo ya shule wakishambuliwa mnakuja kulia lia watoto wanauawa
Uzuri IDF wanatoa na evidence kabisa.Akichapisha hata jina la baba yako utakuja hapo kubweka pia
Hizo propaganda za mashoga peleka kwenye vigango.Israel imechapisha majina ya magaidi wa hamas waliouawa kwenye lile shambulizi la shule magaidi wenu wa hamas wanajificha maeneo ya shule wakishambuliwa mnakuja kulia lia watoto wanauawa
Wewe mlokole upo Simiyu na huyu tumuamini nani?Siku ikatokea Muarabu au muislam kaweza waua IDF 70 Allah atawapa Mtume mpya
Kama ule ushahdi wa MakaoUzuri IDF wanatoa na evidence kabisa.
Sema chuki imewapofua macho wafuasi wa muddy