VIDEO: Mbowe, Lissu wasalimiana kibabe BAWACHA, huku wakicheza kwa bashasha wimbo wa "Tuvushe Mbowe Tuvusheee"

kama n'mbwai na iwe mbwai bwana..๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Safi sana makamanda hiyo ndio demokrasia.. Wale wasingeweza hata kuangaliana machoni achilia mbali kushikana mikono
Inavutia sana lakin pia inaleta tafakari kubwa sana kuhusu demokrasia na siasa.

Hivi ndivyo inapaswa kuwa hata kwa uchaguzi mkuu, vita iwe ya hoja maneno ya utani na kuheshimiana.
Mwisho wa siku nchi ni yetu sote.
 
Matokeo yakoje huko???
 
Ama Kweli uchaguzi ni vita kamili๐Ÿคฃ

Yajayo 2025 yanatafakarisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ