Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Inavutia sana lakin pia inaleta tafakari kubwa sana kuhusu demokrasia na siasa.kama n'mbwai na iwe mbwai bwana..😀😀😀Safi sana makamanda hiyo ndio demokrasia.. Wale wasingeweza hata kuangaliana machoni achilia mbali kushikana mikono
Hivi ndivyo inapaswa kuwa hata kwa uchaguzi mkuu, vita iwe ya hoja maneno ya utani na kuheshimiana.
Mwisho wa siku nchi ni yetu sote.