FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Zinatoka hapa...Hizi hisia za kusema Zitto Kabwe auwawe zinatoka wapi?
Si nia yangu kumtetea mimi nadhani hiyo ni tatizo la mirroring effect yaani matendo mtu hufanya tendo kwa kuiga matendo ya mwingine mfano uko msibani na watu wanainamisha vichwa chini kuonyesha hali ya majonzi ingawa si wote wana majonzi.Na mimi nimeona siamini.Sema na yeye binadamu anyway tuyaache
Kwani kugonga au kupiga meza Bungeni maana yake nini?Amecheka kushangilia au kushangaa? Mb hazitoshi!
Kwa hiyo nawe unakubali hili kosa linastahiri adhabu ya 'kifo'!ila kama ametumia nembo ya bunge kuonesha kuwa ni wabunge wote ndio wamekubaliana hapo kuna shida.
Kwa maana halisi unasema ni "Ma'ROBOT'"!Si nia yangu kumtetea mimi nadhani hiyo ni tatizo la mirroring effect yaani matendo mtu hufanya tendo kwa kuiga matendo ya mwingine mfano uko msibani na watu wanainamisha vichwa chini kuonyesha hali ya majonzi ingawa si wote wana majonzi.na tabia hii ukiichungua wabunge wengi wa sisisemu wanayo na ndiyo maana hujikuta wakati mwingine wanapinga walichokiiunga mkono awali au kukiunga mkono walichokipinga awali
Daud Albeti Bashite yupo kwa ajili ya kumuuwa.Zitto shikilia hapo hapo hakuna Wa kukuuwa nchi hii siyo yao peke yao
Sent using Jamii Forums mobile app
YapKwa maana halisi unasema ni "Ma'ROBOT'"!
Na uchaguzi unakuja ujue anatetea kalio lake ambalo ni kiungo maalumu( viti maalumu)Yeye na aliyekuwa anachangia,wote ni wa viti maalum.
elewa nilichosema, ni kwamba maelezo ya yule mbunge yamechukuliwa out of contextAbdul Nondo mlisema alijiteka kwa kujificha kwa girlfriend wake. Ikashindikana kuthibitika.
- mtu anadhuliwa hadharani kabisa, na jitihada za kubainisha ukweli zinazuiwa hadi kuwakamata wanao mwombea mshambuliwaji!!! .....