pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Apeleke utapeli wake kule, mwizi tu huyu kama wengine, yeye kadhulumu wengi sana kwa kisingizio cha kuwaponya kiroho kumbe tapeli kubwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu anajiita mchungaji! Ndio mjue huyu ni tapeli kama matapeli wengineDah,nimeona Mama ngu wa upepo wa kisurisuli alivyopiga na meza kwa kushangilia mtu kupigwa risasi,kweli mtawatambua kwa matendo yao
Lini tumefikia huku? Tena kijana mdogo hivi. Nahisi hata wanaomsikiliza wanamshangaa.Zinatoka hapa...
View attachment 1344823
Pamoja na mengine yote huyo ni uzao wa shetani. Ni shetani.naona anatafuta fursa ya uteuzi 2021 kama ccm itarudi tena madarakani baada ya uchaguzi mwaka huu.
hahaaa! kijana ana maono ya baadae ndo anayahangaikia kipindi hiki
si uwaroge na nadharia zako za kijuhaICC evidence is loading...
Jr[emoji769]
Yaani huyu ni kiongozi ambaye watu Mia moja wanamsikiliz
View attachment 1344676
Magufuli ndio anavyowafundisha aisee kupigana kumekaribia
Aiseee... hawa watu wanchowaza wao ni kuua tu..!?