mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeusikiliza huu mjadala, kiukweli baadhi ya wabunge wametoa kauli kali na hatarishi, ikiwemo kauli ya kifo kwa Mhe. Zitto Kabwe, ni ajabu kwa Mbunge Mlokole, Mchungaji Rwakatare, kushangilia mtu auawawe!.View attachment 1346062
HONGERA sana mama mchungaji nimeona unakenuaaaaa uliposikia WITO WA ZITTO KABWE KUUULIWA no wonder wanasemaga ulizika makondoo hai kwenye geti la St. Mary's School na kanisani kwako FULL MAKAFARA ya damu.
View attachment 1344066
Zitto mara nyingine ana mikwara sana,alimpiga mmoja Musiba mpaka leo hatujapata mrejesho.Nimeusikiliza huu mjadala, kiukweli baadhi ya wabunge wametoa kauli kali na hatarishi, ikiwemo kauli ya kifo kwa Mhe. Zitto Kabwe, ni ajabu kwa Mbunge Mlokole, Mchungaji Rwakatare, kushangilia mtu auawawe!.
Naendelea kusisitiza kuhusu kauli huumba, kauli kama hii ilitolewa kumhusu Lissu na mara ikatekelezwa, sasa ni kumhusu Zitto, bahati nzuri Zitto ni mtu wa Kigoma, mwisho wa reli, na kule kwao, kaaga!, likimtokea la kutokea, kwa mujibu wa Zitto mwenyewe, hawa waliochangia adhuriwe, kule majumbani kwao, hakuta salia hata panya alive!.
P
Nimeusikiliza huu mjadala, kiukweli baadhi ya wabunge wametoa kauli kali na hatarishi, ikiwemo kauli ya kifo kwa Mhe. Zitto Kabwe, ni ajabu kwa Mbunge Mlokole, Mchungaji Rwakatare, kushangilia mtu auawawe!.
Naendelea kusisitiza kuhusu kauli huumba, kauli kama hii ilitolewa kumhusu Lissu na mara ikatekelezwa, sasa ni kumhusu Zitto, bahati nzuri Zitto ni mtu wa Kigoma, mwisho wa reli, na kule kwao, kaaga!, likimtokea la kutokea, kwa mujibu wa Zitto mwenyewe, hawa waliochangia adhuriwe, kule majumbani kwao, hakuta salia hata panya alive!.
Kwenye kauli huumba, kinachotamkwa ndicho hatari na sio watu watakutafsiri vipi.Mimi nataka nibaki kwanza kwenye hoja ya wabunge kutaka Zitto auwawe,kama inavyoenezwa mitandaoni na kuweka vikatuni.Nakubali kwamba maneno huumba sikatai,katika communication skills wanasema "You should not worry about what you say worry about how people are going to interpret what you say".Sasa tusifanye tafasiri ya jinsi tunavyotaka sisi iwe ndivyo alivyokusudia msemaji.Umeiona hiyo video yenye dakika 28:54?Mleta mada ana hidden agenda.
Mkuu Aqua, naomba kukupongeza wewe una kipaji cha transcription, uliopaswa uwe a reporter wa hansard, au journalist, lawyer.Video kamili ya hili suala ipo hapa naomba tuiangalie
Je 16sec ni asilimia ngapi ya muda wote=16/180=0.0889=8.89% asilimia zaidi ya 90 ya maongezi ya Mhesh.Bulembo haijawekwa kwenye hii clip chochezi.
Ndugu jifunze kusikiliza alisema "tukiwa kule kagera,tunapigana na uganda akitokea mtu (hajasema akitokea Zitto) akapeleka taarifa zetu upande wa pili(upande wa pili hapo alimanisha Uganda) sasa ili huo mfano uapply kwa Zitto,je Zitto alipigana vita vya Tanzania na Uganda na Je Zitto amepeleka taarifa zetu Uganda wakati wa vita?Suala la mnapokuwa vitani kama hujui mambo ya vita kawaulize wanajeshi.Kwanini aanze na kauli hiyo ya kutaka msaliti auawe? Mifano iliisha au misemo mingine imeisha? Au kakutuma uje umtetee baada ya kuona reaction ya watu baada ya kauli yake hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa ushahidi wako kutoka kwenye video usilete mawazo yako na kulazimisha yawe ya muongeaji.
Kama "kiboko kizuri sana" maana yake ni kuuawa ndugu utakuwa sahihi otherwise hauko sawa.See the reality and not what you want to see.