KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
- #81
Huyu ndio mdhamini mkuu wa waganga, wanga, wachawi, wafuga majini na wafanya mazingaombwe.Hakuna namna,
tuendelee kumshukuru Mwenyekiti wa chama na serikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndio mdhamini mkuu wa waganga, wanga, wachawi, wafuga majini na wafanya mazingaombwe.Hakuna namna,
tuendelee kumshukuru Mwenyekiti wa chama na serikali.
ChifunfuNi shule gani nataka kuunganisha kitu.
Bila shaka alijifunza, na ule wala sio uchawi ni kucheza na akili yako tu na unajaa.Kweli Mkuu, Majuzi kati nilipita soko fulani kuna wadau wanachezesha kamari, wana card tatu moja inakuwa na picha zingine mbili zinakuwa empty
Kuna dogo alijichanganya kucheza huo mchezo alipigwa hela yote ya biashara.
Wafanya mazingaombwe ni Mali ya chama tawalaHuyo atatoka bora raia wangemnyoosha kidogo
Ova
Kwahiyo kutafuna wembe ni kucheza na akili ya mtu? Kugeuza karatasi kuwa biscuit je?Bila shaka alijifunza, na ule wala sio uchawi ni kucheza na akili yako tu na unajaa.
Ukiingia youtube angalia "magic tricks reveals" zitakuja tricks kibao wanazotumia wanamazingaombwe ambazo ni kucheza na akili yako na speed yake ya kuchezesha mchezo.
Na vifaa vya hizo tricks vipo kabisa madukani.
😂😂😂 kwa akili yako ile ya kitoto hata trick ndogo ilikua kazi kugundua utaishia kusema ni uchawi ila wengi hawakua wachawi.Kwahiyo kutafuna wembe ni kucheza na akili ya mtu? Kugeuza karatasi kuwa biscuit je?
Mi siongelei mazingaombwe ya YOUTUBE sawa, Kwani shuleni kwenu haukuwahi kushuhudia Mwana-mazingaombwe, Au we ni mtoto wa kishua nini!!!??
Uchawi upo
Na unafanya KAZIUchaw
Uchawi upo
Uislam na mazingzong kuna uswahiba mkubwa
tumekaririshwa kuluwaniWazee wa kukakarishwa hamuishiwi
Kama ni tricks tu na sio uchawi nawe jaribu kufanya kama utaweza.😂😂😂 kwa akili yako ile ya kitoto hata trick ndogo ilikua kazi kugundua utaishia kusema ni uchawi ila wengi hawakua wachawi.
Kuna mwamba alikuja na kibuyu kisichoanguka, kumbe ndani ya kibuyu katia cement upande mmoja hivyo hakiwezi kusimama kitaanguka tu, mwingine ndio wale wa kutenganisha kichwa na kiwiliwili na enzi hizo kweli unaamini kumbe wapi ni tricks tu.
Kutafuna nyembe, kumeza jambia, kugeuza karatasi kua pesa, pipi au biscuits hizo zote ni magic tricks ambazo anajifunza kwa muda kabla ya kuja kuwahadaa.
Mzee uchawi haufanywi hadharani, uchawi una codes zake.
Zipo tricks ni rahisi na nyingine ni ngumu zinahitaji nyenzo nyingi kukamilisha, na nyingine ni risky unaweza umia/kuumiza watu kama huna mazoezi nazo.Kama ni tricks tu na sio uchawi nawe jaribu kufanya kama utaweza.
Kuna Mazingaombwe ya kucheza na akili za watu, Ila mengine ndo uchawi wenyewe wa kupumbaza akili.
Mm ningekuw. Nina mamlaaaaaka ningepigggaa maruffuku shule kutembelewa na. Wapuuz. Wwte sijui diamond sijui. Zchu sijui wauza bidhaa za promotion hao waaganga na. Manaabii fffffeki ssijui waendeshaji. Vipind kwe. Tv vya kijinga ili kuwaepusha wanaffnz na volunariibilty sory uandish. Mbaya nipo kwenye. UsafrKuna upumbavu tu
Uandishi mbovu ni hulka ya MTU, tusiusingizie usafiriMm ningekuw. Nina mamlaaaaaka ningepigggaa maruffuku shule kutembelewa na. Wapuuz. Wwte sijui diamond sijui. Zchu sijui wauza bidhaa za promotion hao waaganga na. Manaabii fffffeki ssijui waendeshaji. Vipind kwe. Tv vya kijinga ili kuwaepusha wanaffnz na volunariibilty sory uandish. Mbaya nipo kwenye. Usafr
Mwaga madini Mzee Kaka Vishu MtataKijana uchawi una mifumo yake, haufanyiki hadharani ambapo kila mtu ana energy yake ambayo huyo mchawi hajajua uwezo wao, akifanya uchawi hadharani namna hiyo ni rahisi kuumbuliwa au kuumbuka kwa wachawi wenzie au watu wa dini.